Kipima Joto Cha ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipima Joto Cha ITV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domenia, Oct 1, 2009.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi maswali yanayo ulizwa ITV kupitia Kipindi cha kipima joto Hua yana jibiwa na watu wangapi?

  Walio jibu ndio ni asilimia 10 na walio jibu hawajui ni asilimia 90 hapana hakuna
  Hizi asilimia za idadi ipi?

  Kwanini wasitoe na idadi ya watu walio piga kura... ili tujue kuliko kupelekana pelekana toweni na idadi ya kura zilizo pigwa!!
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mathematically that is the way it is supposed to be..but kusema 10% hapana ,na 90% ndio haina maana sana bila kujua idadi ya waliopiga kura
   
 3. K

  Kimambo Member

  #3
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ITV Wanaboa sana hivi hawa watangazaji huwa hawaangalii wenzao wa CITIZEN, CNN, AL JAZEERA na BBC waone presenters wanakuwaje!!

  Too boring hakuna jipya unatazama news huoni kitu na habari inanuswa hakuna details... Nji hii... kila kitu hakiko makini.. ovyo ovyo tu...
   
 4. K

  Kimambo Member

  #4
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Si TBC, STAR TV wala nani presenters wetu hawako serious na sidhani kama wako committed.

  Ovyo ovyo ... si kipima joto wala baridi...vyote vinanuka ubabaishaji tu
   
 5. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa muda mrefu hua nina shangaa mambo yana yo endelea kwenye media ya bongo!! ina onyesha wazi ni jinsi gani watu wamejipanga ki wizi wizi!! nafikiri kuna mtu ananufaika sana kifedha na kipima joto....
   
 6. I

  Isae Member

  #6
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nadhani kuna ubabaishaji kweli kwan mathematical mfano kama wamepiga kura watu watu wa nne(4) mmoja akisema ndio na watatu hapana ukitoa jibu kwa asilimia halileti picha nzuri kwani itakuwa asilimia 25 ndio na asilimia 75 hapana, sasa bila kutaja idadi ya watu, italeta picha halisi kwelii
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Mh!!!!

  Well kila kazi inahitaji maarifa na ujuzi na sivinginevyo! Hapa siimanishi Ma-degree bali uelewa wa nini unkifanya na kwasababu gani na ukifanyeje! Then Ma-Degree yanasaidia hiyo sehemu ya mwisho (ukifanyeje).

  Presenters wengi wa "media-house" za TZ ni kama wafanyakazi wa "UMMA". Kipi ni kifanye kuweza kupata mshiko chap-chap
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Yale yale ya wa TZ kuanza kuponda vyao, utasikia cheki CNN au Aljezeera hamuoni huo ni mlinganisho usio sahihi? angalia mtaji wa star tv na cnn, nyambaf mshahara wa christine amanpour wa mwezi mmoja ni mtaji wote kituo kama star tv plus rfa na kiss fm.
   
 9. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hivi Burn na Domenia hizo avatar vipi? zinanifanya nisisome mlichoandika
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo umeongea mkuu maana watu wanapenda kufananisha vitu visivyolingana....hii hata kwa mawaziri wanapojibu maswali bungeni yaani sometime inaboa sana we utasikia waziri anajibu "stratergy kama hii imefanikiwa sana America au nchi za ulaya" sasa mtu unajiuliza ivi German na TZ ni sawa kiuchumi kiutamaduni na kisiasa? hatuendani hata kidogo...mtu akiniambia kenya au Uganda walitumia hii stratergy ikaleta mafanikio hapo ntamuelewa kwani we have similar situation. Mfano Nchi kama netherland mteja wa maji anajiandikia number za mita ya maji katumia kiasi gani the anaenda kulipa so ishu ka hii huwezi kuileta hapa bongo.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sijui kwa nini wameziweka jamani kama wamezipenda wao mbona zinatishia nyau

  nadhani nazenyewe ziwekwe kwenye kipima joto zipigiwe kura kidogo ya burn angalau
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mkuu unakuja hapa kusoma au kuangalia picha? unanikumbusha mtu mmmoja '' the good thing about books is that, sometimes they have great pictures'' George W. Bush

  BTW . Cynic = A person who believes all people are motivated by selfishness. 2. A person whose outlook is scornfully and often habitually negative.

  Word History: A cynic may be pardoned for thinking that this is a dog's life. The Greek word kunikos, from which cynic comes, was originally an adjective meaning "doglike," from kun, "dog." The word was probably applied to the Cynic philosophers because of the nickname kun given to Diogenes of Sinope, the prototypical Cynic. He is reported to have been seen barking in public, urinating on the leg of a table, and masturbating on the street. The first use of the word recorded in English, in a work published from 1547 to 1564, is in the plural for members of this philosophical sect. In 1596 we find the first instance of cynic meaning "faultfinder," a sense that was to develop into our modern sense. The meaning "faultfinder" came naturally from the behavior of countless Cynics who in their pursuit of virtue pointed out the flaws in others. Such faultfinding could lead quite naturally to the belief associated with cynics of today that selfishness determines human behavior.

  Hapo kwa sisi tunaopenda kusoma jina lako linatukwaza pia.
   
 13. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Quote:
  [​IMG]

  Hivi Burn na Domenia hizo avatar vipi? zinanifanya nisisome mlichoandika


  No comment
   
 14. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wazee mumegusa penyewe, naomba niiweke hivi, taarifa ya habari especially ITV ni mbovu kuliko zote duniani, kwanza habari yenyewe ni moja tu kwa siku, lakini mambo yanakimbizwa utadhani mwandishi kabanwa na mkojo, sioni hata maana ya hizi news, basi ni summary yani, imagine habari za afrika mashariki hivi ITV mnatuonyeshaga nini? hakuna hata aibu? kama vipi si museme tulipie kama tv za nchi zingine ili tuwe na usemi? bora star TV kiasi wanajua kufafanua habari na kutranslate,pia TBC, but ITV naina mashka na wandishi wao wa habari pia wahariri wao,kama kweli wana elimu stahili,poor you
   
 15. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Unapoweka hela mbele kuliko vitu vingine, that's what you get!
   
 16. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa mathematically haiji kabisa. Hebu nijikumbushe wakati ule nakokotoa hesabu maana wenzangu walikuwa wanalikimbia somo la hesabu halafu ndio kwanza nilikuwa nalikimbilia.

  Kwa mfano kama kulikuwa na jumla ya wapigakura 5000
  Watu 3500 wakisema ndio ni sawa na asilimia 70
  Watu 1495 wakisema hapana ni sawa na asilimia 29.9
  Watu 5 waliobaki wakisema sijui ni sawa na asilimia 0.1

  Kwa hapa majibu watakayotoa itakuwa NDIO 70%, HAPANA 30% SIJUI 0%
  sasa hapa si wanatudanganya? maana waliosema sijui ni watu watano lakini kwenye asilimia wamepewa 0, Ni bora wakaweka idadi ya wapigakura. Pia hizo asilimia haziwezi kuwa kamili kila siku lazima zitakuwa na desimali kwa mfano 29.9%

  Mbali na hayo hata maswali yenyewe yanayoulizwa wala hayajaenda shule kabisa.
  Kwa mfano swali hili hapa: WANAFUNZI KUENDELEA KUSHINDWA KATIKA SOMO LA HISABATI, JE WAZIRI WA ELIMU AJIUZULU?
  Hapa kwa sababu wengi hufeli somo la hisabati kwa uzembe wao lakini mpigakura moja kwa moja atasema NDIO.

  Kwa kweli hawa jamaa wajaribu kufanya marekebisho hayo ya maswali pamoja na calculation zake.
   
 17. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata wakipiga kura watu wawili tunataka kujua!! x na y tutafute mean ...just hesabu zote zipigwe zipigike
   
 18. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mzee hii kali sijawahi kufikiria...Duh!!
   
 19. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mwaswali yote yanayo anza na JE... ni maswali ya kinafiki...

  haya ngoja na sisi tuulize

  Kipima joto kuto kuweka idadi ya wapiga kura ni sahihi..
  JE haki elimu wajitoe kudhamini kipindi?
  kama jibu lako ni Ndio endelea kujadili...

  hivi hata haki elimu hawajui haya?
   
 20. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna issue zingine haziitaji mtaji, kama kwny segment ya habari za kimataifa angalau star tv wanatafsiri mtu wa nje anachoongea. ITV wao wanakuwekea kwa muda mtu (e.g. Obama) anaongea kiingereza then wanaendelea na habari nyingine, sasa kama mtu hujui ngeli inakuwaje?

  Kuna mambo tunaweza kurekebisha bila ku2mia hela, ni attitude ya kuwa na hamu ya kuifanya kazi yako kwa quality ya hali ya juu.
   
Loading...