Wasiyoitaka oic wahame nchi.
The organisation attempts to be the collective voice of the Muslim world (Ummah) and attempts to safeguard the interests and ensure the progress and well-being of Muslims.
Well set goals for Muslims, but Tanzania is not yet an Islamic Country.
Hence, as a Country OIC is not needed, at least for now, however, Muslims can still join it as a religion, and benefit from it.
Kwani tanzania hakuna muslims? au
Mbona tumejiunga na jumuiya ya madola?
Mkuu wa jumuiya ya madola ni nani?Tuliwahi kuwa chini ya Uingereza! Kwani Katiba ya Jumuiya ya Madola inasemaje? Najua ile ya OIC imetaja kwa uwazi kabisa kwamba ni kwa ajili ya kulinda "maslahi ya waislamu!"
Uweli utadhihiri. na kusimama
Mbona tumejiunga na jumuiya ya madola?
Malkia ndiye mkuu wa jumuiya ya madola na Kanisa la Anglican.peace oriented, haina udini
Malkia ndiye mkuu wa jumuiya ya madola na Kanisa la Anglican.