Majambazi yavamia Zanzibar

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Majambazi yavamia duka la vileo maeneo ya Hurumzi Mjini Zanzibar na kuwapiga risasi wauzaji waliokuwemo ndani. Source: Zenj Fm Breaking news.
 
Tujuze, wamekwapua shingi ngapi?, au wameondoka na hizo roho tu?!.
 
Mkuu mimi sipo katika tukio, na nimezipata hizi habari kwa ufupi tu, kuna wafanya biashara wa vileo wamevamiwa na majambazi na kutwangwa risasi na sasa wapo hospitali ya Mnazi mmoja, kwa hiyo sina taarifa kamili kama una jamaa zako pale Unguja wapigie simu wakupe full datas. Mimi nadhani hao ni 'MUUNGANO-HARAM' wameshachoshwa na hii kadhia sasa wanaonyesha hisia zao kwa Vitendo!
 
na walivo walegevu akina hamiiiiiii....yadhaaaa mijiziii hiyoo atiiii
 
Mkuu mimi sipo katika tukio, na nimezipata hizi habari kwa ufupi tu, kuna wafanya biashara wa vileo wamevamiwa na majambazi na kutwangwa risasi na sasa wapo hospitali ya Mnazi mmoja, kwa hiyo sina taarifa kamili kama una jamaa zako pale Unguja wapigie simu wakupe full datas. Mimi nadhani hao ni 'MUUNGANO-HARAM' wameshachoshwa na hii kadhia sasa wanaonyesha hisia zao kwa Vitendo!
hayo majambazi yalipora kitu chochote au yalikwenda kutwanga risasi tu?
 
Mkuu mimi sipo katika tukio, na nimezipata hizi habari kwa ufupi tu, kuna wafanya biashara wa vileo wamevamiwa na majambazi na kutwangwa risasi na sasa wapo hospitali ya Mnazi mmoja, kwa hiyo sina taarifa kamili kama una jamaa zako pale Unguja wapigie simu wakupe full datas. Mimi nadhani hao ni 'MUUNGANO-HARAM' wameshachoshwa na hii kadhia sasa wanaonyesha hisia zao kwa Vitendo!
MUUNGANO-HARAM ndio nani??
 
Back
Top Bottom