TANESCO Kinondoni North kitengo cha mita rushwa tupu

Kiumbe duni

Senior Member
Dec 3, 2011
100
8
Hawa jamaa walio katika kitengo cha mita za Luku
wanaendekeza rushwa ile mbaya. Kama wewe ni mteja mpya
unaesubiri kufungiwa mita, au mteja ambaye ulishafungiwa
mita ikakorofisha na umesharipoti unasubiri kubadilishiwa
ni lazima cha moto mkione. Ukifuatilia wanakuambia mita ni
chache na kuna wateja wengi sana wanasubiri kufungiwa
umeme, na wengine wameshasubiri zaidi miezi sita. Lakini
ukitoa kitu kidogo huchukui hata siku 3 unapata umeme.
 
kiumbeduni,mimi mwenyewe shahidi wa hilo ulilosema.kwa maana yamenitokea mimi mwenyewe !!!!!!!
!
 
Back
Top Bottom