Ukanjanja? Mwanahabari aitukana mahakama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukanjanja? Mwanahabari aitukana mahakama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MKUNGA, Jan 9, 2012.

 1. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kutokana na hukumu yake katika kesi ya mwandishi huyo dhidi a msanii Diamond.

  Mwandishi huyo alishitaki kesi ya jinai kwamba amepigwa na Diamond pamoja na wenzake. Katika hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Bomani Iringa mjini imemtia hatiani Diamond na wenzie na kuwahukumu waende jela miezi 6 au faini 30,000/= kila mmoja.Mwandishi huyo amenukuliwa zaidi ya maramoja akiita hukumu hiyo ya kichina eti faini waliyotozwa ndogo. Kama huo sio ukanjanja ni nini? Kama alitaka alipwe pesa nyingi kwa nini asifungue kesi ya madai Mahakama ya Wilaya?Hivi hawa ndio Waandishi wetu wa kuwategemea au ndio wanaonunuliwa? Mwandishi aliyesoma vizuri anaweza kuiita hukumu ya Mahakama ya Kichina?

  Source: Mahojiano ya Mwandishi huyo na kipindi cha Amplifier Clouds FM usiku huu.
   
 2. K

  Kolero JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbaya zaidi hizo pesa zitakuwa za Serikali na hata fidia ya vyombo vyake hatopata, afadhali angekubali wamalize nje ya mahakama angefaidika zaidi na kupewa fidia ama kununuliwa vyombo vipya vya kazi yake. Any way, tunajifunza kwamba kuna sheria zinahitaji kufanyiwa marekebisho ziendane na hali ya sasa.
   
 3. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana nawe mkuu,isipokuwa kuna jinai na madai. jinai ni public law na ni kosa dhidi ya jamhuri ndio maana fine huenda serikalini. kesi za madai ni private law. na unaweza kudai fidia hata billion! Vile vile Diamond alimwambia amlipe 1m akakataa,sasa imekula kwake hata akikata rufaa hawezi shinda kwani kosa la kupiana ni dogo (misdemeanor)
   
 4. u

  utantambua JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jinsi tu unavyoandika mtu hapati shida kujua upo upande gani. Wewe ni pro-Diamond. Bwana mwandishi ana haki ya kuonesha kutoridhishwa kwake na hukumu ya mahakama. Sh milioni moja ni kitu gani dhidi ya kudhalilishwa (kupigwa?) Hata mie nisingeichukua.
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa huyo mwandishi aende akafungue kesi ya madai,na hukumu ya mahakama ya mwanzo kwny kesi ya jinai itakuwa ni evidence ya moja kwa moja wala kesi haitachukua muda mrefu,unless diamond aoneshe intentio to appeal ndani ya muda..
   
 6. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sivyo unvyofikiri, mimi ni Pro Judicial Independence. Siwezi kusapoti kupigwa mtu. Kama hajui sheria kwa nini asitafute mwanasheria akamshauri juu ya nini afanye?
   
 7. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo mwandishi nae njaa tu inamsumbua.....!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  NAAMINI DEGREE YAKO YA LAW UMEIPATA"""CHINA """KAMA MKEO SIO MCHINA LOH
  Ani pm tumsaidie free vijana wenye akili wampeleke puta huyo shoga yenu..nani amekwambia awezi kufungua kesi ya madai tatizo degree za kichina mke mchina watoto wa kichina(hili anajua mama tu kama una mwana ni wako au wamekuchakachulia )
   
 9. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu nadhani wewe ndio mwenye degree ya kichina, kwa hiyo unashabikia uhuru wa mahakama kutukanwa??? Anyway, nina uwezo wa kutosha ktk hii fani, wadau wangu ndio wanafaham, sio wewe, ni maoni tu.
   
 10. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo mwandishi anajifanya mjuaji sana, so alifikili anamkomoa diamond, kumbe kajikomoa yeye
   
Loading...