Hivi Mlimani tv kusema hali UDSM ni shwari wakati TBC inaonyesha maandamano tuelewe nini?

PAFKI

Senior Member
Sep 30, 2011
116
38
:juggle::juggle:Nimechnganywa na vyombo hivi viwili hebu wana jamvi mlipo sehemu ya tukio mtujuze vizuri inakuwaje.:juggle:
 
Tangu jana walisema hivyo hivyo::

Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Hawa jamaa walichemsha sana hata mie nilishangaa kuona TBC wanasema kuna vurugu lakini Mlimani tv eti wanasema kuko shwari,
 
Nikiwa kama mwanafunzi ha udsm nadiriki kusema hali ni shwari.....hapana mgomo ila ni mikutano tu ya wanafunzi ya hapa na pale..hali iliopo chuon si kama vile vyombo vya habari zinavyokuza jambo hili
 
Back
Top Bottom