Redio One Kipindi Cha Magazeti Kilasiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redio One Kipindi Cha Magazeti Kilasiku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Jan 11, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Jamani ninashauku ya kujua katika kipindi cha magazetini asubuhi Redio One, kwa mfano kama kila inapofika siku ya Jumatano watatusomea vichwa vya habari karibuni yote kasoro magazeti ya Udaku, lakini shauku yangu ni kua mbona huwa gazeti la Mwanahalisi huwa hawana habari nalo lakini Raia Mwema wanalo! Kulikoni kuna sababu zozote la kutokulishirikisha gazeti hili la Mawanahalisi? Nawasilisha.
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  hata wasipotusomea sisi tunalinunua mwanahalisi tena zaidi ya lile la kwao la nipashe.:lol:
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Au Mengi anaBiff na Saed Kubenea?
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  achana nao hao!
   
 5. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ******* sana hao jamaa:shock:
   
 6. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yako serikali ya jk imepiga marufuku gazeti la Mwanahalisi katika magazeti yote yanayonunuliwa kwa hela za ofisi na baadhi ya Blogs ikiwemo ya Millard Ayo na Mjengwa zilikuwa zunaweka japo picha ya frontpage nazo wamekatazwa. Nina uhakika na kwa upande wa IPP nao wamepigwa biti kama ilivyo kwa vyombo vingine vingi vya habari!

  Adioooos!!!!!
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hata radio free nao hawasomi?
   
 8. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Husda inawasumbua hao!
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Si mkanunue? Mnasubiri msomewe asubuhi? Acheni ungese
   
 10. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  radio Tumaini linasomwa kama kawa.
   
Loading...