Waislam kwa uchoyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislam kwa uchoyo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PACHOTO, Jan 11, 2012.

 1. P

  PACHOTO JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Jamani hii ndio historia ya wanasayansi wa kiislam ambayo nchi za magharibi hawataki ulimwengu hasa huku afrika tufahamu, leo naleta historia ya mwanasanyi ambaye alikuwa anjulikana kama daktari wa madaktari, huyu mtu anatambulika sana ktk nchi za kiislam hasa kule irani maama wana siku maaalum ya kumkumbuka inayoitwa avecina day, madaktari siku hiyo wanafanya kazi za kujitolea kwa jami, kutoa ushauri wa kitabibu bure.
  Nisikuchoshe pata uhondo.
   

  Attached Files:

Loading...