Natangaza: Huu ni utumwa usioweza kuvumiliwa hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza: Huu ni utumwa usioweza kuvumiliwa hata kidogo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bampami, Jan 11, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Hawa FFU waliopo hapa UDSM na madefender yao siyo siri 2mewachoka tumechoka hatusomi kwa raha, ukitembea unakutana nao wameshika mabomu, yani hakuna Amani kwakweli mnasoma kwa mitutu.Hapa hall 5 wanapita na bunduki zao, yani hatuna amani. afu kisaikolojia wanatujengea usugu na siyo siri wanatengeneza roho moja ya wasomi ambao watakuja kuwa na impact kubwa.Mfano mimi mwenyewe yani nikiwaona kuna roho nzito sana moyoni mwangu kila siku, kweli itafikia wakati hatutawaogopa na tutakuwa radhi kupambana nao kufa na kupona ilimradi haki zetu tuzipate.
   
 2. p

  pilu JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jipe moyo 2015 inakuja mambo yatakuwa sawa!
   
 3. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Pilu, God wont forsake us.
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hii ndo tz yenye uongozi uliojaa madudu
   
Loading...