hawa ndio marafiki wa ismail jussa.........

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
katika mjadala unaoendelea star t.v mheshimiwa ismail jussa ameulizwa swali kwamba ana uhusiano gani na rostam aziz?
jibu lake likawa:
rostam azizi ni rafiki yangu kama alivyo david kafulila,zitto kabwe na january makamba.

jaribu kuifuatilia list ya majina hapo juu ambayo kisaikolojia itakuwa ni ukweli kutoka kwa jussa,je urafiki wa kundi hili unatupa picha gani?
nawasilisha.
 
leo katika kipindi cha televesion ya star t.v mwanajf mmoja alimuuliza swali mh ismail jussa kwamba ana uhusiano gani na rostam aziz. jussa alijibu kuwa rostam ni rafiki kama walivyo marafiki zake wengine,akawataja zitto,kafulila na januari makamba.
kisaikolojia majina haya hayawezi kutolewa randomly,lazima kuna uhusiano fulani.labda wadau mlioko jamvini tusaidiane kujua uhusiano wa watu hawa ni upi.je walisoma pamoja?wanafanya kazi pamoja,au wamepewa kazi maalum kwa pamoja?
 
Acha upumbavu, hao wote uliowataja ni binadamu, LOWASA ana kashfa ya ufisadi lakini anaitwa baba, tena anaitwa mume wangu jee hao waahce kumuita hivyo eti kwa sbb ni fisadi? SLAA ana kashfa ya kuchukua mke wa mtu, na ana watoto wawili aliozaa nje ya ndoa jee asiitwe baba kwa makosa hayo?
 
Sawa Konstebo Sabela tumekusikia.............
 
Ili nipate nini, mi najilimia mananasi yananitosha mi si kama wewe unaesubiri ajira,
 
Back
Top Bottom