Umalaya wa Mwalimu wamgeuza ombaomba Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umalaya wa Mwalimu wamgeuza ombaomba Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akili Kichwani, Jan 15, 2012.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamani........................... tuacheni sympathy za kijinga,............................. hivi hapo chini kwenye bold, huo si ndio uchangu???...................... tena uchangu wa kijinga wa bila hata kutumia kinga!!.......................... na sitashangaa kusikia hata ngoam anayo........................... sasa watoto wanateseka bure kwa sababu ya umalaya wa mama yao................... khaaa.................... amenikera sana huyu mama........................... ningekuwa na nafasi, ningemcharaza hata bakora ................

  hebu jisomeeni wenyewe hiyo habari .................................. mi nimekereka sana........................

  Mwalimu ageuka ombaomba Dar es Salaam


  MWALIMU wa shule ya msingi aliyepata kufundisha kwa miaka 19 katika shule kadhaa za mikoa ya Pwani na Dar es Salaam, Saada King’ombe amegeuka ombaomba, chini ya mti na watoto wake
  sita huku akitegemea fadhila za wasamaria.

  Kati ya watoto hao, mmoja ni mchanga, akiwa amezaliwa Jumapili ya Januari mosi mwaka huu.

  Ana umri wa wiki mbili. Saada ambaye ana asili ya Mkoa wa Kigoma, akizungumza na gazeti hili juzi, alisema kiini cha hayo ni matatizo kazini kwake hata kumfanya awe katika mazingira aliyonayo sasa.

  “Nilijikuta napoteza ajira yangu ya ualimu baada ya kufiwa na mama yangu, ikabidi niende
  Kigoma, lakini nilichelewa kurudi kazini nikajikuta nafukuzwa kazi, hata sijui ni wizara au nani, basi tu ndiyo hivyo kazi yangu ikaishia hapo,” alisema mama huyo mwenye jumla ya watoto wanane.

  Anakumbuka wakati anapata matatizo kazini, tayari alikuwa na watoto wawili ambao kwa sasa
  wamechukuliwa na ndugu wa mume aliyekuwa akiishi naye ambaye kwa sasa ni marehemu.

  Watoto wengine sita aliwapata akiwa katika harakati za kujikwamua kimaisha, lakini kwa bahati
  mbaya wanaume aliokuwa na uhusiano nao kwa nyakati tofauti, waliishia kumzalisha na
  kumtelekeza.

  Hata hivyo, Saada mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza, huku akisisitiza ana akili timamu, alisema anawakumbuka wanaume wote aliozaa nao.

  Aliwataja kuwa wanatoka mataifa sita tofauti, wakiwamo Watanzania, Mkenya, Mzambia,
  Mkongo, Mwafrika Kusini na Mgiriki.


  source: HabariLeo | Mwalimu ageuka ombaomba Dar es Salaam
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  si awatafute wamsaidie kulea
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Title ya thread yako imejaa uzalilishaji kwa Mwanamke na hasa Mwalimu. Sina hakika kama umeiweka hivyo kwa bahati mbaya, binafsi sioni uhusiano kati ya "umalaya" na "kufukuzwa kazi" kwa Saada. Upo uhusiano wa "wazi" kati ya "kufukuzwa kazi" kwa Saada na kuwa kwake "ombaomba" na hili limewatokea si waliofukuzwa tu bali hata wastaafu. Tumia busara yako kuwaomba mods wakusaidie kurekebisha hiyo Title, inakera!
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ok maan,................. hapo kwenye blue,.................... jaribu kutwist this way..................... "Upo uhusiano wa "wazi" kati ya "kufukuzwa kazi" kwa Saada na kuwa kwake "malaya" na kisha kuwa "ombaomba"..................... hivi wewe unayejifanya feminist,.................. huoni pale mwenyewe anaposema alikuwa anabadilisha wanaume "akiwa katika harakati za kujikwamua kimaisha"..................... siyo umalaya huo ni nini?? ................ au ni uchangu??......................... au ni nini basi, tuambie wewe umngependa title ikaeje??......................
   
 5. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Asante, Kaka.

  Point ni baadhi ya wanaume kuzaa na kuishia... Kama hayawani.
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa hapa Umalaya na unatokea wapi?
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu nilidhani kuna uhusiano moja kwa moja. Nilichogundua humu Jf walio wengi wanajaribu kuweka tittle ya kuvutia ili apate wachangiaji wengi ambayo inakujakusababisha uzalilishaji kama huu
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  wanaume sita na wote kwazalia watoto! oooooopsssss, hapo ana kazi maana kila njemba itakuwa inahisi huenda mwenzie anatoa matumizi mwishowe ndo hivyo tena
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  pengine hakuwa malaya kama unavyodhani. Kazi ya uticha nadhani unaijua
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Akili Kichwani nimetumia akili yangu sijaona connection yoyote ya haeading yako na mada yenyewe.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  To put it straight: alifukuzwa kazi kwa sababu ya utoro, alienda kumzika mama yake (maybe akachelewa kuliko ruhusa yake)
  Huyo ameona ni urahisi tu wa maisha kuombaomba bila kujali fedheha yake! Wanaume wote hao hatoki tu? Alipofukuzwa kazi, walichukua vyeti vyake? Anashindwa kuomba kazi hata ya kufundisha chekechea?
  Sorry: hii story ni ya yule mama wa golf course ya gymkhana?
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  afadhali wewe umeona kitu!!.................... big up!!......................... umalaya ni tabia na huyu hakika anayo!!.......................

  watoto sita!!!..................... kila mmoja na wake, tena toka mataifa mbalimbali...................... huo ni uchangu per se!!................ hata ungekuwa unataka kumsaidia .......... hapo utaanzia wapi??...................

  eventually kaishia kuombaomba!!....................... baada ya "kutumika" sana kama wanavyoita hapa JF..................... katumika hadi kaishiwa soko kaamua kustaafu "biashara" na kendelea "kugawa gahawa maalum" ................ kwa mateja wanaopitia hapo gymkhana........................ tabia hizi ni za kuzikemea na wala sio kuleta u-feminist wenu uchwara hapa.....................
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  watoto sita kila mmoja na babake...no way kama ban mnipige tu huyu ni MALAYA
   
 14. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni huyo mama wa gymkhana.
  Kuna kitu nyuma ya jambo hili. Hakuwa na sababu ya kuombaomba pamoja na "size" ya familia yake, bahati mbaya ana mtoto mchanga kabisa wa wiki mbili hivi. Afya yake ya akili inaweza kuwa na tatizo pia.
   
 15. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna uhusiano gani na kufukuzwa kwake kazi hapo?!
   
 16. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ukimsikiliza yule mama ana matatizo ya akili....huwa anakataa misaada nakumbuka Batrida Buriani kuna wakati akiwa waziri alimtafutia nyumba ya kukaa....ikalipiwa akakimbia kurudi tena barabarani....sio bure yule mama akili si sawa
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  changu njinga sana huyu mkuu, ................. we ukienda kupata cha chapchap mahali, ukimaliza na kulipa bili yako utamchukua kwenda naye kuishi kwako?.................. hata hao aliowataja ni baadhi tu, wengine hata hawakumbuki .............. huyo alichukulia urida aliojaaliwa bure na Mungu kama kitegauchumi na tena akawa anatega uchumi kijinga bila kinga wala kalenda, .............. huyu hata ngoma atakuwa nayo lazima.................. wewe huyo mama unaweza kuishi naye kama mkeo??............ hata wewe ungekimbia nakwambia.................

  mimi nitawaelewa na kufuta kauli yangu ikiwa tu mtathibitisha kuwa huyo mama ni mwendawazimu.......................... otjherwise, anasumbuliwa na umalaya wa kijinga....................

  siku ukikua utaona unapotokea...................

  kama hiyo biashara kenye bold huwa unaifanya, ............ keep it up mkuu....................

  kumbe biashara ya umalaya huijui..................hapo hakuna anyehisi hivyo mkuu...................

  kwa hiyo kazi ikiwa ngumu na yenye mapato kidogo ni ruksa kuzaa na kila mtu mwenye "mguu wa tatu"??...............

  kazi unayo mkuu..................... pole sana.............
   
 18. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yeah, ...................hapo kwenye bold ikithibitika nitafuta kauli yangu...............
   
 19. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mbona unang'ang'ania kufukuzwa kazi???................... nani kakwambia kufukuzwa kazi ni sababu ya kutembea ovyoovtyo na tena bila kinga??................ wangapi wamefukuzwa kazi hapa duniani na hawajawa malaya??............. hebu katafute miwani mikubwa zaidi ili uweze kusoam vizuri ninachokiandika hapa!!.....................

  tabia ya kuombaomba ni janga baya sana.................... hata matonya ukimpa msaada gani hawezi kuacha fani yake hiyo .................. hivyoi sishangai kama mama buriani alimpa nyumba akatoroka..................... ila hapo kwenye bold, kama itathibitika nitawaelewa wakuu........................ na nitaitaka serikali kuchukua nafasi yake hasa kwa wale watoto...................
   
 20. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Si vibaya ukaifuta sasa...

  Huyo mama ana matatizo ya akili, ukimsikiliza maelezo yake ndipo utagundua kwamba anayo matatizo ya akili, hili si gazeti la kwanza kumhoji, kuna kipindi gazeti la Mwananchi waliandika makala yake.....

  Pia kuna kipindi JOYCE KIRIA alimualika katika kipindi chake cha WANAWAKE LIVE na kufanya naye mahojiano, hapo ndipo niligundua kwamba Saada ana matatizo makubwa tu ya akili.....

  Baada ya mahojiano yale na Joyce watu wengi walijitokeza kumsaidia Saada ikiwa ni pamoja na kutafuta sehemu nzuri(nyumba) ya kumsitiri yeye na familia yake lakini katika hali ya kushangaza huyu mma alikataa na kuamua kuendelea kuishi palepale anapokaa sasa.....Alichokuwa anataka yeye ni pesa tu....

  Saada karibu kila mwaka yeye anazaa, na nina wasiwasi wanaume huwa wanatumia ugonjwa wake kufanya naye mapenzi kwa nguvu na baadae kumpa mimba(huu ni mtazamo wangu tu)......

  Saada si malaya kama unavyodhani mkuu....
   
Loading...