VITA CCM vs UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VITA CCM vs UDSM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAN OF CHANGES, Jan 14, 2012.

 1. MAN OF CHANGES

  MAN OF CHANGES JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumekuwa na vita ya chinichini (cold war) kati ya ccm na wanafunzi wa udsm ambayo sasa imefikia hatua ya vita hiyo kuwa dhahiri,na huko tunapokwenda itakuwa kati ya wanavyuo wote TZ na ccm. Ni kwawida kwa chama hicho kuweka mapandikizi yake katika vyuo hasa Mzumbe ambapo wao wanaamini ndio viongozi bora wanatokea. Mapandikizi hayo huyafanya kwenye serikali za wanafunzi ambapo huakikisha kila mwaka rais wa TAHILISO anakuwa mtu na hasa atoke Mzumbe.

  Imeonekana udsm imekuwa kwazo kwa ccm kufukia malengo yao kwani kila raisi wa TAHILISO anapotoka ud basi cccm inaanza kukosa usingizi kwa kusumbuliwa na wanafunzi kwa kudai haki zao.

  Sasa tunaona jinsi wanavyotumia nguvu kubwa kuwanyamazisha wanafunzi hata kuwafukuza vyuoni. Na oda ya kuwafukuza wanafunzi ilituolewa na waziri wa elimu Shukuru Kawambwa alipotembelea vyuo vyote mwezi wa nane 2011 na alisema aliyeagiza ni waziri mkuu. NDUGU ZANGU WATANZANIA HAWA WATU WACHACHE WATATUTAWALA NA KUTUNYANYASA MPK LINI?

  VJN TUNASOMA,HAWATUANDAI KWA KUJIAJIRI, KAZI HAKUNA WAO WANAZIDI KUTAFUNA NCH SISI WANATUAMBIA AJIRA HAKUNA NA UCHUMI UMEYUMBA, WAO WANAJINUFAISHA NA JAMAA NA WATOTO WAO TU.

  INATOSHA
   
 2. H

  Handsome Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nonsense,maandamano ndio tija????acha upuuzi wewe Udsm wapuuzi sana hawataki usoma bali raha nyingi alafu pesa zikiisha matokeo yake wanaanza kudai mambo yasio natija,mie nimesoma pale miaka ya nyuma sana ka 90 na kitu hivi,hali haikuwa hivyo,stop talking NONSENSE SHIT.
   
 3. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bonyeza HAPA
   
 4. M

  MPG JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni adui no moja wa elimu ya juu,serikali hi legelege na dhaifu kazi yake kubwa ni kuwagandamiza wanafunzi wa vyuo vikuu kwa kuwanyima haki zao za msingi,ila mwisho wa CCM umefika.
   
 5. k

  kipinduka Senior Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha upupu!
   
 6. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa mtu yeyote hata mwenye uelewa wa chini sana,elimu yako ikizidi sana ni form four,kama uligraduate basi wewe iq yako ni ya mwisho kabisa,ujumbe wako umefichua upumbavu wako!
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mtaji wa c.c.m kwa sasa ni wajinga kama kuna mpuuzi anajiita handsome,id yake tu ina determine uelewa wake!
   
 8. M

  MALAGASHIMBA Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Unaakili kweli wewe,sdhani kama umesoma.Tafut historia ya migomo UD ujue ilianza lini.
   
 9. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  migomo imeanza tangu wakati wa MWALIMU na hata timuatimua ya WANAFUNZI imeanza tangu wakati wa mwalimu,kama tsh.7,500/= haikutosh kwa siku hupaswi kupata mkopo as wewe sio mtoto wa mlalahoi wa chini ya DOla moja!
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  umetumwa wewe,kawaambie waliokutuma nimewakuta jamaa wako macho.kama ni udsm tumepita hata sisi tena tulikuwa radical kweli kweli,lakini hoja uliyojenga wewe imekaa kinafiki mno.hakuna cha ccm wala baba yake na nani,tatizo ma dent wa ud starehe kwa sana af wanasahau walikotoka.apo ukiona wanagoma ujue hawajasoma na UE zimekaribia,hadanganyiki mtu apa.acha wachapwe wakue
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ukiona mtu anasingizia ccm ujue ametelekezwa,waambie wawashe simu uwapigie wakurudishe chuo nyama wewe
   
 12. H

  Handsome Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hojatete nakuheshim sana,nimeipenda sana hii haa jamaaa Nyama kweli,,haana jipya kabisa,wotewamechoka,UE zikikaribia wanaanaanza matatizo oo imekua vile imepanda,imeshuka wote wapuuzi tuu,
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nepi kamtuma handsome na hojatete wako kazini jioni ikifika mkono unaenda kinywani
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Kwa mtu aliyefanikiwa kuhitimu chuo kikuu kukubali kutumiwa na nape, tena hapa JF kwa malipo ya buku mbili kwa siku ni hasara kwa familia yake na Taifa.
   
 15. T

  TUMY JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ifike mahala serikali ifute hili suala la kuwa na makundi ya vyama ndani ya vyuo vikuu, linatuletea matatizo makubwa kwa kweli, kwa sababu imefika mahala kila kitu kimekuwa kikihushishwa na politics either ni cha kweli ama si cha kweli. tusikubali kutumiwa jamani kwa manufaa ya watu wachache.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mwongo wewe,hakuna mwaka ambao udsm hawakugoma au kuandamana,kuanzia miaka ya sitini had leo,
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kumbe na wewe umemshtukia?yaani huyo handsamu mnafki,hahahahahah
   
 18. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nawe unaunda vituko. Kwa nini unatukana kiasi hicho?

  Uandikaji huu wako kweli unaonyesha umepitia University? Au hiyo miaka ya 90 ulikuwa chuo kikuu cha CCM?
   
 19. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hivi! Kila siku kelele za vyama tu, mara CCM, mara CDM. Hivi nchi haiwezi kuwa na serikali bila vyama? Manake sasa ishakuwa kero.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Piga uwa wewe ni gamba ndo maana unatetea nonsense
   
Loading...