Tofauti ya makabila na mantiki yake kwa jamii zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya makabila na mantiki yake kwa jamii zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mhindi1978, Jan 15, 2012.

 1. mhindi1978

  mhindi1978 Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiv kwa kuangalia tu tofauti ya makabila kwa maana ya mfumo wa maisha,behaviours,attitude,n.k vina maana yoyote katika Tanzania,mbona makabila mengine yanaonekana active sana na mengine yana strong decisions compared to others.mengine yanadanganyika sana na uozo wa wanasiasa hususan wazee wa magamba na mengine hayadanganyiki na tayari yamekua pinzani kwa hoja za uongo toka ccmagamba?hv tujiulize 2015 mikoa mingine ikiungana na ya sasa yenye misimamo mathalani Kigoma,Arusha,Mbeya,Mwanza,Mara,Kilimanjaro je kuna uwezekano wa kutengeneza historia ya kutawaliwa na rangi ya chama tofauti na kijani?sorry niliisahau Shinyanga na upande wa pili zenj ambako this time opposition imeuwawa kutokana na maridhiano.j2 njema wana JF
   
Loading...