Shyrose- bhanji ana agenda gani?

Shyrose- bhanji ana agenda gani?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
Wakuu huyu mwanasiasa shy-rose bhanji naona amekuwa akijitangaza sana kwenye mitandao ya kijamii hivi ana agenda gani? Bado ana ndoto za kutuongoza watanzania? Kwa nini anavaa mavazi yasiyo na staha kama kweli anataka kuwa kiongozi wetu ? Naomba maoni
 
Yah!! Nadhani bado anamalengo ya kisiasa..is true anatakiwa kubadilika kwenye maeneo fulani,maana kiongozi lazima uwe na staha na kujiheshimu kwa kila kitu...
 
Kama anajitangaza kwenye mitandao ya kijamii,wewe kinachokunyima usingizi nini!?ata nguo zake pia azikuhusu..watanzania hawaongozwi na nguo.
 
she speaks her mind

hilo ni tatizo kubwa sana kwa watanzania wengi

kwani hiyo ni mwiko kwa tabia na desturi za watu wetu na hasa kwenye siasa
 
Ameshindwa kumuongoza Jaffarai ataweza kutuongoza watanzania, Kinocrain sie wajanja.
 
Ameshindwa kumuongoza Jaffarai ataweza kutuongoza watanzania, Kinocrain sie wajanja.
Kwa kuwa CTU mmezowea kuongozwa na wanawake basi Jaffarai naye aongozwe na Shyrose

sasa rijali nani?

Mbona Jack Bauer hakubali kuongozwa na mwanamke?

no wonder kila siku kuna leaks huko kwenu
 
Kwani mavazi yake yanakuhusu nini wewe? Wewe ndio unayechukunguza majirani wako wamekula au wamelala ma njaa?. Umbea ndio unaokusumbua. Hii Tabia ya akina mama kukaa barazani kuzungumza umbea mbele ya watoto wao ndio inakuja humu Jf. Nia yako unataka kulifanya Jukwaa la JF kuwa na mipasho na umbea sio?
 
Mbona unauliza, kisha ww ndiye unatoa majibu ya kwamba anataka kutuongoza!
Kuhusu Mavazi, ni afadhari kutembea na kaptura uliyonunua na pesa zako kuliko suti ya kuhongwa ili uuze utu wako na taifa lako!
 
Mavazi yake mbona ya kawaida kabisa mwacheni awae anavyotaka mavazi ni test ya mtu anavaa anavyojiskia
 
Nadhani ni mmoja kati ya wanamagamba ambao wanaongea kwa wazi na kukosoa magamba, Je yuko genuine au janja ya nyani ya kutaka wapiga kura wamuone yeye ni kiongozi bora. To me she just a confused n impossible individual.

Nauliza Modesta Mahiga nimemsikia televisheni wanamuita mhe mbunge wa kuteuliwa ni kweli maana wengine tunaishi newala habari huwa zinatupita haswa uteuzi wa kujuana majina.
 
kwa kuwa ctu mmezowea kuongozwa na wanawake basi jaffarai naye aongozwe na shyrosesasa rijali nani?mbona jack bauer hakubali kuongozwa na mwanamke?no wonder kila siku kuna leaks huko kwenu
well said, i wonder the how can tony use will smith's avatar
 
kwa kuwa ctu mmezowea kuongozwa na wanawake basi jaffarai naye aongozwe na shyrosesasa rijali nani?mbona jack bauer hakubali kuongozwa na mwanamke?no wonder kila siku kuna leaks huko kwenu
well said, i wonder how can tony use will smith's avatar
 
Back
Top Bottom