Wimbo kwa ajili ya maombelezo ya mbunge regia mtema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbo kwa ajili ya maombelezo ya mbunge regia mtema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JATELO1, Jan 15, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nice song RDI. RIP dada Regia....
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nyimbo za kiswahili zimeisha?
   
 5. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu, kwani hatuna nyimbo zetu za kiswahili za maombolezi?
   
 6. m

  mkatakona Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  TAFSIRI YA BETI MBILI ZA KWANZA ZA HUO WIMBO NI KAMA HV......ni kwanini uliyaruhusu eeh Mungu mwenyezi, yatusononeshe moyoni ni kwanini umeyaruhusu.... Ona haya machozi tazama tunavyolia twajiulza sana bwana ni kwann umeyaruhusu...... Nikumbukapo usiku huo, ucku wa huzuni nyingi, ulikubali bwana wenzetu wapumzike, najiulza moyoni kwann bwana mwenyezi unaruhusu tusononeshwe kiasi hiki.... Ni kwanini....
   
 7. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana dada Neema. Mungu na akubariki.
   
Loading...