Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ni kweli: Je, hii inaleta tafsiri gani kwa next generation? Pia, kama tutapata %kubwa ya viongozi serikalini, pata picha Bunge litakuwaje? Maofisini je?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni zaidi ya miezi 11 tangu milipuko ya mabomu ya GONGOLAMBOTO itokee.Lakini serikali haijawajengea nyumba waathirika wala wale WALIOPOTEZA VIUNGO kwa uzembe wa Serikali.Cha kushangaza wamepewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni matokeo ya tume
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi, Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja. Aliyetoa ripoti hiyo kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SubalKheri wana jamii. Jamani mwenzenu ninatatizwa na hizi gharama kubwa ambazo serikali inaziingia kujenga daraja la Kigamboni kama zina ulazima wowote. Ni kweli kuwa muwekezaji ambaye ni NSSF...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Jaman mamlaka ya maji mosh vp? Leo ni siku zaidi ya tano maeneo mengi mjin moshi hayana maji. Leo ni siku ya tatu binafsi kabla sijaenda kwenye mihangaiko yangu naishia kupiga passpot size badala...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono...
14 Reactions
221 Replies
22K Views
Wana Jf nimekutana na hii habari nikaona ni hatua nzuri iliyochukuliwa na manispaa ya Arusha kuelekea kwenye miji iliyopangwa na kufanya mji huu kuwa kuvutio cha utalii. Big up kwa uongozi wa jiji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF? Naomba ku-share nanyi machungu ambayo TIGO wamekuwa wakinisababishia. Nimekuwa mteja mwaminifu wa kampuni hii tangu mwaka 2000 (enzi hizo ikiitwa BUZZ). Kiukweli nimefurahia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari za asubuhi wana jf,nikiwa maeneo ya ubungo ghafla bini vuu linanyesha bonge la mvua,tumuombe mungu isizidi na kuleta mafuriko
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sent: Friday, 20 January 2012, 8:02 Subject: UHALIFU MPYA - KAA CHONJO Wandugu, Nimepata pepe hii toka kwa rafiki mmoja. Sina sababu ya kutoamini au kutilia shaka tarifa hii kuh "ubunifu" huu wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Leon Bahati SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeingia tena katika kashfa ya ufisadi wa matumizi mabaya ya rasilimali za umma, baada ya kubainika kuuza kinyemela sehemu yenye utajiri...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Viongozi wetu wa dini zote wa islamu na wakiristo.huu utaratibu wa kuleta wana siasa kwenye makanisa na misikiti,kwa kipindi hichi kuna makundi ya wana siasa wanaotaka uraisi,ubunge na udiwani ata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku zinavyo zidi kwenda ndo nyimbo zinapotelea mbali, mfano, ni akina nani utawakuta wanaimba... Tanzania Tanzania, nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya wanaililia sana nimeona ndege...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni vizuri tukaiga mifano mizuri hasa ktk mambo muhimu kama yale yanayohusu kupoteza maisha ya watu. Meli ilyozama Nungwi mpaka leo hakuna mtu yoyote aliyekamatwa, kweli kwa hali hii tutafika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haya ni madai ambayo yamekuwa yakitolewa na watu. Je yana ukweli
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani ile ahadi ya bwana HU kuwa atarudi na ule mwendelezo wa kumuonya JK juu ya mtandao fulani hatari ndani ya chama vipi mbona kimya? Alisema kuwa angerudi na 3rd part ya hiyo story lakini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kunatetesi kwamba waandishi wa habari wanajua siri nyingi za nchi inavyoibiwa lakini hawasemi kwa vile wanapewa pesa na wa kubwa, kwa maana kwamba wanatumika sana kuficha maovu. je tetesi hizi ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati tupo bado tuna majonzi yakuondokewa na mpiganaji mwenzetu Ndg. Regia Mtema kutokana na ajali ya gari na mazingira mazima ya chanzo cha ajali yake. Ilivyo na inavyo julikana ni kuwa viongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani Leo nimekuwa nikiwaza habari zote ninazozisikia kuhusiana na CUF, Vita kuu ni watu wa asili moja na nina Imani majirani HR, na SSH. Mgogoro wa HR ni mabadiliko na uongozi safi, Tatizo za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…