Kwa nini Serikali haijalipa waathirika wa MABOMU wa GONGOLAMBOTO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Serikali haijalipa waathirika wa MABOMU wa GONGOLAMBOTO?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mutta, Jan 21, 2012.

 1. Mutta

  Mutta Senior Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpaka leo ni zaidi miezi 11 tangu itokee MILIPUKO ya MABOMU ya GONGOLAMBOTO.Mpaka leo Serikali haijawalipa watu WALIUMIA na wengine kuwa na VILEMA vya maisha kwa uzembe wa Serikali baada ya yale ya Mbagala.Hata watu wa kujengewa nyumba Bado zoezi limekuwa gumu kwani wanadai Viwanja walivyopata vina migogoro.Nashangaa sijui MABWEPANDE imezuka baada ya MAFURIKO ya Dar?Tunaiomba serikali iwalipe maana wanateseka.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  unaiuliza kwa nini serikali ya mapoyoyo!! kama kwenu amesalia angalau babu mmoja mwambie afanye mambo nafasi ya magogoni itangazwe kuwa wazi, atakaeijaza labda atawalipa.
   
Loading...