Baada ya Kutupima viatu 2010(wana JF) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Kutupima viatu 2010(wana JF)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jan 21, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana Jf,baada ya VYAMA VYA SIASA(CCM,CDM,NCCR,CUF) kutupima viatu 2010,mda si mrefu (2015) vitarudi tena na kutuuliza swali "hivi wana JF mlikuwa mnataka viatu vya SAIZI gani vile?“  kwa mfano sasa umeulizwa swali hilo na ukizingingatia MCHUNGA PEKU HAPENDI,ILA HANA VIATU utamjibu vipi mwana (CCM,CDM,NCCR,CUF) akitaka kura yako?
   
Loading...