Kweli bora Hussein Machozi urudi jela....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli bora Hussein Machozi urudi jela.......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marejesho, Jan 20, 2012.

 1. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kipande cha sabuni shilingi 950
  Kilo ya unga sh.................
  Kilo ya sukari ......................
  Mfuko wa cement sh................
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahah
  unga wa mahindi Kilo mia mia ziwe tisa!
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  jela jela bora nirudi jera,kama mke wangu nae kamilikiwa na kigogo duu,bora nirudi jera,nimeshindwa bora nirudi
   
 5. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Husen machoz katoa idea nzuri sana bora nirudi jela
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he eh
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ule wimbo hauna ukweli wa kuaminisha. Jela bongo?
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Vijana wanaingia kwenye wimbi la ukombozi bila Kujitambua.

  Wa kwanza ulikuwa Rizwani kamwambie baba, Lilikuwa dongo la kutosha kwa JK kuhusu uhalisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida.

  Ukaja wimbo mwingine kichwa kinauma kusisitiza Hali Ngumu ya mtanzania

  Sasa wanataka kurudishwa jela

  Baada ya hapa nadhani wataimba Jamani si tuwe kama Boaziz.

  Moto wa ukombozi hakika wachukua sura mpya.
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Baba R1 asikilizishwe hii kitu ili kama vp waongeze magereza maana watu wamesha choka
   
Loading...