Kwanini hatuandamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini hatuandamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jile79, Jan 19, 2012.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Naomb tujadili pamoja mtazamo huu. Huwa njiuliza sana swali hili gumu ila bado sijawahi kupata jipu l japo jepesi la kwa nini watz tunahindwa kuchukua hatua pamoja na mambo kwenda hovyo kabisa ktk kil idara.......
  Mi naona tuna matatizo kadhaa kwa mtazamo wangu ila nomba na mwingine mwenye mtazamo kmn wangu u tofauti aaidie tujue tuna kwama wapi hasa..........naamini kwa mambo yanayotokea nchini tangu Kikwete aingie madarakani tungelikuwa tuliishamfukuza kazi......

  JEULI YA CCM N KIKWETE NA SERIKALI YAO NI KWA SABBU WATZ HAWANA HATA ROBO YA UJASILI..........KILA MTU ANALALAMIKA KUANZIA RAIS MPAKA MPIGA DEBE MPAKA MUUZA VITUMBUA WOTE NI KULALAMIKA....NDIYO MAANA MAANDAMANO YALIPOTOKEA LIBYA KULIKUWA NA MISHANGAO YA AINA MBILI1

  1. WATZ WALIKUWA WANAWASHANGAA WALIBY KWA NINI WANAANDAMANA NA KUMKATAA KIONGOZI WAO AMBAYE YUKO TAYARTI HAT KUWAPA MAHALI ZA KUOLEWA WAKE WATANO
  2. WALIBYA WALIKUWA WANASHANGAA KUWA KM TZ NI TAJIRI HIVYO WA RASLIMALI KIASI HICHO KWA NINI WATZ NI MAIKINI WA KUTUPWA HIVYO NA BADO WANAFURAHA KIASI HICHO...........MWISHOWE NIKAJARIBU KUFIKIRIA INGEKUWAJE IWAPO HALI YA TZ INGEKUWA LIBYA NA HALI YA LIBYA INGEKUWA TZ ......NADHANI UNAPATA PICHA KAMILI YA NININI WALIBY WANGEFANY IWAPO WANGEKUWA WATZ NA NININI WATZ WANGEFANYWA INGEKUWA WAO NDO WALIBYA............TUNA SAFARI NDEFU SN......
  SABABU ZA KUANDMNA
  -RAIS MUONGO ANAWADANGANYA WATZ, HAKUNA MAISHA BORA NI UANII TU
  -RAIS DHAIFU HACHUKUI HATUA, KWA SABABU WATENDAJI WAKE NI WASHIKAJI, MAFISADI NI RAFIKI ZAKE NA YEYE MWENYE NI FISADI
  -RAIS NI FISADI AMETAJWA NA MASWAHIBA WAKE LOWASA
  -W/MKUU MUONGO ANALIDANGANYA BUNGE NA WATZ
  -WABUNGE WACHUMIA TUMBO HAWAJALI WATZ WANAJALI MASLAHI YAO
  -BEI YA BIDHAA JUUUUUU JUUU ZAIDI
  -MFUMKO WA BEI HAUKAMATIKI
  -RAIS ANAWASAMEHE WEZI NA WAHUJUMU UCHUMI
  -TUPO GIZANI NA GHARAMA ZA UMEME ZINAPANDA KIHOLELA TU
  -BUNGE LINALINDA SERIKALI KWA KUZIMA MIJADALA MUHIMU KM RICHMOND WAKATI LIMEPEWA DHAMANA YA KUISIMAMIA SERIKALI
  -KUMBE WABUNGE WA CCM HUPEWA MIJIHELA KWANZA ILI WAPITISHE BAJETI MBOVU NA HAYO NDIYO MATOKEO YA UMASIKINI TULIONAO, WANA CCM HUA NI NDIYO KILA KITU


  TZ TUNA ASILI TOFAUTI SANA NA VIWANGO VYWA UJASILI VINATOFAUTIANA SANA KUTOKA MKOA MMOJA KWENDA MWINGINE.............MFANO WATU WA MARA, KILIMANJARO, MBEYA,ARUSHA, KIDOGO MWANZA NI WATU WAJASILI SANA NA WANACHUKUA HATUA ZINAZOONEKANA ,ILA KUNA WATU KUTOKA MIKOA MINGINE WAO NI BORA LIENDE TU NI NDIYO MZEE TU KILA KITU KM PROF.JAY ALIVYO WAHI KUIMBA SIKU ZA NYUM
  "'SABABU TUNAYO, NIA TUNAYO NA UWEZO TUNAO PIA ILA HATUNA UAMUZI/UTHUBUTU"...TUCHUKUE HATU TUACHE KULALAMIKA TWENDENI BARABARANI TAREHE 22 JANUARY 2012"
   
 2. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kila jambo lina wakati wake,wakati wa mabadiliko ni sasa.Tulipompiga Idd Amin tulisema sababu tunayo,nia tunayo na kweli tulimpiga.Kosa la Amin halikuwa kubwa kihivyo ila tulikuwa tunalinda urafiki na kuamua kupoteza watanzania wenzetu waliokufa katika mapambano.Sasa ni wakati wa kusema tumechoka hatuwataki,uwezo tunao,sababu tunayo na nia tunayo.Unafiki na uoga ni silaha duni katika mapambano na ni chachu kubwa kuikithirisha serikali dhalimu kukaa madarakani.umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.Waliona mbali walipoamua kufuta wanafunzi kupitia JKT,walijua uzalendo unaofundishwa kule kwa baadae kingekuwa kigezo cha walafi kuachia madaraka.Tuungane na kuzikutanisha nguvu zetu tukiwa na lengo moja.Wanaigeria walipopandishiwa gharama za ununuzi wa mafuta waliingia barabarani serikali ilisikia ikashusha.Sasa basi kwa kuwa serikali yetu iko kidharura zaidi nasi tuwe kidharura zaidi na kuingia barabarani huenda dharura zao zitakwisha
   
Loading...