nssra

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
ujio wa mamlaka ya mifuko ya hifadhi ya jamii nssra utaweza kweli kupunguza gap iliyopo kati ya mfuko mmoja na mwingine mfano nssf wanacharge ten percent kwenye gross salary wakati ppf wanacharge five prrcent kwenye basic salary.na kwa maana hyo watu wa ppf mfano wanabenefit in short run wakati nssf wanaathirika lakini kwa muda mrefu linyume chake.karibu wana jamii mtuelimishe zaidi juu ya hili
 
Fanya utafiti kidogo kwa kujielimisha kuhusu madhumuni na kazi za SSRA. Sijui kama ni NSSRA
 
nikweli inaitwa social security regulatory authority SSRA na sio NSSRA kama nilivosema hapo awali.thanx
 
Back
Top Bottom