Maandamano ya kupinga bei ya umeme kupanda

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Wakuu tumeipa serikali mwenzi mmoja wa kutafakari na kushusha bei ya umeme na kama ikishindikana basi hakuna jinsi ya kufanya zaidi ya maandamano na kuanza kuhujumu rasilimali za Tanesco hili shirika life kabisa kwani limeshindwa kututhamini sisi Watanzania na linajiendesha kisiasa zaidi.

Ongezeko la bei ya umeme ni pesa ya kuwalipa DOWANS
 
maandamano ya nini bwana uamuzi umetoka kwa sasa tuangalie KATIBA MPWA mkisema tuandamane kwa katiba nitakuwa wa kwanza
 
Nani atamvalisha kengere mwenzake?.................n hapa serikali ya kifiadi ya ccm ndipo inaposhindia kirahisi kwa sabbu watz hawana hata robo ya ujasili..........kila mtu analalamika kuanzia rais mpaka mpiga debe mpaka muuza vitumbua wote ni kulalamik....ndiyo maana maandamano yalipotokea libya kulikuwa na mishangao ya ain mbili1
1. Watz walikuwa wanawashangaa waliby kwa nini wanaandamana na kumkataa kiongozi wao ambaye yuko tayarti hat kuwapa mahali za kuolewa wake watano
2. Walibya walikuwa wanashangaa kuwa km tz ni tjiri hivyo wa raslimali kwa nini watz ni maikini hivyo na bado wanafuraha kiasi hicho...........mwishowe nikajaribu kufikiria ingekuwaje iwapo hali y tz ingekuwa libya na hali ya libya ingekuwa tz ......nadhani unapata picha kamili ya ninini waliby wangefany iwapo wangekuwa watz na ninini watz wangefanywa ingekuwa wo ndo walibya............tuna safari ndefu sn......
Tz tuna asili tofauti sana na viwango vywa ujasili vinatofautiana ana kutoka mkoa mmoja kwend mwingine.............mfano watu wa mara, kilimanjaro, mbeya,arusha, kidogo mwanza ni watu wajasili sana na wanachukua hatua zinazoonekana il kuna watu kutoka mikoa mingine ni bora liende n ni ndiyo mzee tu kila kitu km prof.jay alivyo wahi kuimba siku za nyum
 
Huwa najaribu sana kufikiria mambo ya nchi,mpaka nachoka mwenyewe.
Wengi wetu unapenda sana kugoma,lakini nani alianzishe...
Suala la umeme kupanda,ukiangali wameingia mikataba na makampuni yanayozalisha umeme kwa kutumia mafuta,i hali sisi hatuzalishi mafuta,hapo ndo tabu inapoanzia. Mi sijui viongozi wetu wanampango .gani na sisi...
 
Hoja ni kukata rufaa kwa siku 21 zilizotolewa, besides itakua ni kelele za mlango tu!!!!!!!!11
 
Back
Top Bottom