Chama/kikundi cha kusaidiana kwenye shida na raha (msiba/sherehe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama/kikundi cha kusaidiana kwenye shida na raha (msiba/sherehe)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Loly, Jan 24, 2012.

 1. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja na masharti na kila kitu.
   
Loading...