Umeme wakatwa hospital ya rufaa mbeya huku operation na huduma zikiendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wakatwa hospital ya rufaa mbeya huku operation na huduma zikiendelea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tizo1, Jan 24, 2012.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Je hu ni uungwana?Wamekata kisa wanaidai HOSPITAL 2.6 MILIONI.JE VIFO VITAKAVYOTOKEA TANESCO HAWANA LA KUJIBU?KUNA WATU WALIKUWA KWENYE OXGEN MACHINE....KWELI JAMANI TZ IMEKWISHA
  source tbc 1
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  operation zitafanyikaje bila umeme? Hawana jenereta? Fafanua vizuri
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kukatika kwa umeme katika Tanzania yetu si jambo laa kustusha... Ila kwa hospitali ya rufaa kutokuwa na stand by jenereta ni udhaifu kama si uzembe kwenye masuala ya msingi yenye kuhusisha uhai wa binadamu wanaokuja hospitali kupata huduma..
   
 4. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unajua kama watz hatutamka kipindi hichi basi hatutakaa tuamke tena,
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280


  Kweli sana
   
 6. C

  Claxane Senior Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chomboko unasema uöngo watu wamegoma
   
 7. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kusikitisha kibinadamu lakini hospitalii si zina bajeti ya umeme inakuwaje mpaka wakatiwe umeme? Au sijaelewa.
   
 8. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kwa nini walimbikize deni? Halafu Tanesco watoe wapi pesa? Kila mtu atimize wajibu bana, aahk.
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  uliza kama hizo hela zinakuja kwa wakati.
   
 10. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mie najua wataalam wetu wamegoma au?anyway,,acha yatukute tu!
   
 11. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ni aibu Taasisi kubwa kama ile kukatiwa umeme kisa deni.Nadhani kuna watu wa kuwajibishwa hapo.kwa kuwa tunaleana hakuna wa kumcheka mwenzie.
   
 12. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Utaweza ku run generator kama umeshindwa kulipia umeme wa Tanesco?
   
 13. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Tatizo sio Tanesco wala hospitali. Ni utawala mzima wa nchi hii.
   
Loading...