Je kuongeza eneo bahari ni kuimeza Zanzibar au kuboresha utaifa na uchumi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuongeza eneo bahari ni kuimeza Zanzibar au kuboresha utaifa na uchumi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Jan 25, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siku hizi sipiti sana JF kutokana na mchezo mchafu wa kuchomoa mada hasa zile zinazomhusu Jakaya Kikwete na watu wake. Leo nimepita na kukuta hili "sanga", kimbembe na hekaheka za kuongezwa kwa eneo bahari. Wazanzibari wanaona kama wanamezwa. Hii ni haki yao. Hakuna anayependa kumezwa hasa ikizingatiwa kuwa ni nchi. Wabara sasa wanaanza kuwabeza kweli kweli. Je tatizo ni nini? Je Zanzibar na Pemba kuwa visiwa ni kumaanisha kumilki bahari yote? Maana hili eneo lililoongezwa halikuwa mali ya Zanzibar bali ukanda wa kimataifa. Sasa kelele na mnakasha vya nini jamani? Kuna haja ya kusoma ili kuepuka kufanya vitu kama majuha.
   
Loading...