CHADEMA wahakikisha mswada wa katiba unaboreshwa-wabunge wa CCM wadhihirisha ukilaza wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wahakikisha mswada wa katiba unaboreshwa-wabunge wa CCM wadhihirisha ukilaza wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkwawa, Jan 23, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Mjadala mkali unaendelea kati ya Ikulu na CDM unadhihirisha wazi kuwa wingi wa wabunge wa CCM ndani ya Bunge la muungano ni mzigo na hasara kubwa sana kwa wananchi na Taifa zima la Tanzania.

  Bunge la JMT lilojaa wabunge wengi wa CCM ambao kati yao wapo wasomi waliobobea kwenye maswala ya katiba, sheria, utawala, uchumi, udaktari na maswala ya kijamii wakiwa baadhi yao wamesoma vyuo maarufu duniani kama harvard , st peters, Oxford, Yale, nk wameshindwa kuona hitaji muhimu la katiba na kuandaa muswada unaendana na mazingira na hali ya sasa na ya baadaye ya nchi yetu nzuri.

  Wabunge hawa wa CCM wamekuwa stamp na kusahau taaluma zao mbali mbali. hili linadhirisha kuwa ukiwa na kadi ya CCM inafuta uwezo wako wa kufikiri na kubakia kama bua kavu linalopelekwa na upepo.

  Hali hii imewafanya Viongzi wa chama na Serikali kushindwa kustahimili critics zinazotolewa na makundi ya kijamii na kuufanya Muswada uliosainiwa ili kurithisha vilaza wa CCM bungeni kufanyiwa kazi upya.

  CDM wamejikita kuhakikisha katiba mpya inakuwa ya manufaa kwa wote inashirikisha makundi yote ya kijamii inajadiliwa kwa uhuru na upana, na mawazo yote yanafanyiwa kazi. Kupatikani kwa kamati huru na inayojitegemea ya kukusanya maoni na kupatikana kwa wataalalmu na watu huru ku-assemble katiba.

  Je kwa nini wabunge wa CCM wanakubali kutumika kama madodoki? Je kwanini wanakuwa hamnazo hata kwenye mambo muhimu ya Kitaifa? haya yanatokea kwani huwa hawashindi kihalali hawawekwi na wananchi, kwao sanduku la kuraha haliwahusu, kwao demokrasia ni ngonjera kwao maisha ya kumkomboa mtanzania ni kujimaliza. Wanaahidiwa kupitisha upuuzi wowote bungeni kwani Tume ya Taifa ya Uchaguzi itawatangaza washindi hata wasipopata kura za kutosha hii ndio maana wabunge wa CCM wapo disconnected na wapiga kura.

  CDM wanatumia karata ya mwisho kumlazimisha JK kurudisha mswada bungeni au kubadili muundo mzima wa kutafuta katiba mpya. Kwa hali ilivyo sasa JK hana jinsi kwani wabunge wake hawana la kuuza kwa wananchi, kwani mswada ni mbovu hata wao wenyewe wanauogopa.

  Chief Mkwa wa Kalenga
  Tanzania Huru Itajengwa na mimi na wewe.
   
 2. a

  anney Senior Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia sakata la katiba jinsi raisi wetu wa JMT anavyolishughulikia kwa kuwasikiliza wapinzania na amekubali mswada upelekwe Bungeni kwa ajili ya kufanyia marekebisho shiria ya kuunda katiba mpya. Kilichonishangaza hivi wabunge wa CCM kutokuona hayo mapungufu? je wanajisikiaje kwa kitendo anachokifanya raisi? Nafikiri wangesikiliza kwa makini wasinge poteza tena muda bungeni kujadili kitu ambacho kilipaswa kuwa kimeshajadiliwa na kuwekwa sawa.Pia nililojifunza nafikiri washauri wa raisi wetu wamejaa waahafidhina ambao bado wana mawazo yale ya zamani ambayo hawataki kubadilika ndiyo maana walipeleka ule mswada mbovu bungeni. Wanamshauri raisi vibaya. Hata baraza la mawaziri limezidiwa na mahafidhina wasiotaka mabadiliko.Nafikiri raisi wetu ameusoma mswada vizuri na kuuelewa kuwa ni mbovu ni baada ya kuusaini!Inawezekana mwanzoni aliwachia mahafidhina kumaliza kila kitu.
   
 3. k

  kipinduka Senior Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hv hata kama raic akisema muswada uludi bungen c inaweza kuwa kiina macho kwan baada ya majadiliano c watapiga kura na ccm c weng zaid ya cdm
   
 4. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  CCM wanaendeshwa kwa remote control, Raisi wao akiwaambia sasa wapige kura za ndio hata kama amewapelekea gunia tupu wanaanguka wino. Taifa limekosa wazalendo wa ukweli ndio maana gharama za maisha zinapanda na hakuna majibu sahihi. Ukweli wanaujua wote ila hua wanajichetua akili. Raisi kabanwa mbavu na CDM hana jinsi inabidi wakubaliane. Kwa hili lazima wote tukubali wabunge wa CCM wote ni vilaza.
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,310
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana huwa hawaoni hasara ku piga usingizi mle ndani kwa kuwa wote wanajua wamebeba kichwa kimoja naonaga pale wakitaka kulala mmoja anamwambia mwenzake “ikifika muda wa kuunga mkono hoja unishtue mi napumzika kidogo”matokeo yake ndio hayo hakuna mwenye muda wa kuifikirisha akili yake ili kuweza kumshauri rais ,wanasubiria kupiga makofi na kutetea upuzi,Mungu tuepushe na janga hili CCM
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  majungu tu haya,kwani pale ikulu si vyama vyote vikuu vilienda kunywa juice?mbona unapendelea
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hjalafu ni aibu kujisifu kwenda kuzungumzia katiba ikulu wakati umekimbia bungeni.hilo suala lilipaswa lizungumzwe bungeni sio ikulu.
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  TLP na UDP sijawasikia kabisa ina maana wao vyama vyao haviwakilishi watanzania
   
 9. l

  luckman JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  we ka ni ukilaza basi umekuzidia, fikiria juice shs ngapi wanayoifata ikulu? gari moja ya mbowe all the way from his home with range rover sport to ikulu anatumia mafuta ya shs ngapi? i am sure an no dout, u must be thinking using ur ass!kama hamna cha kuchangia si mnyamaze au facility za shemeji zenu mnatumia bure!

  katiba sio jambo dogo hata siku moja, katiba ni dira na msingi wa nyumba ya tanzania, ukiukosea msingi lazima nyumba iwe na nyufa au ianguke na si vinginevyo, wanaobeza nadhani hata katiba hawaijui maana yake!kikwete lazima awe na busara juu ya hili jambo kwani sifikirii kama icc hapajui!so its not personal willing, he must do it due to the current political stuation!
   
 10. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nahisi mfumo wako wa akili una matatizo, muone daktari wakimaliza mgomo
   
Loading...