Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
1.Waalimu wote serikalini wapo chini ya Wizara ya Elimu.
2.Madaktari wote Serikalini wapo Wizara ya Afya na
3.Wahasibu wote serikali kuu wapo chini ya Wizara ya Fedha
Na kada balimbali Serikali kuu zipo chini ya wizara mbalimbali.
Kitu kinachonishangaza ni kwamba Nimekuwa nasikia kilio cha waalimu, na Madaktari tuu kuhusiana na Masuala ya Maslahi. Mbona sijawahi kuwasikia Wahasibu wakilalamika na kutishia kugoma japo Mishahara ya Wahasibu Serikalini ni midogo kuliko ya Madaktari?