yanayojiri kutoka Mbeya Referal Hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yanayojiri kutoka Mbeya Referal Hospital

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Jan 24, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  KIKAO CHA DHARURA CHA MADAKTARI WOTE. Mbeya Referral Hospital,leo saa kumi na moja jioni,pale interns canteen,mkabala na interns block.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  haya mkuu watakusoma..
   
 3. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu hakikisheni mpaka kieleweke, huku tools down and no any other language zaidi ya utekelezaji wa maslahi bora kwa daktari na uboreshaji wa mazingira na vitendea kazi ili mwananchi apate huduma bora
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  together comrades.....make us proud
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwanini lakini serikali isiwape hawa Madaktari haki yao wanayotaka?

  Jamani hii serikali legelege ya jk itatufikisha wapi?
  Mi binafsi nawaunga mkono wagome na acha wanainchi tuteseke kwn lawama yote ni ya serikali tawala.

  Madaktari wote Nchini gomeni mpaka mpewe haki zenu.

  Naunga mkono hoja!
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  sijui KCMC inakuaje.hapa ukumbi ni nyomi!
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Endeleni kutujuza yanayojili sehemu mbalimbali hadi kieleweke ......................
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  MBEYA HAS JOINED THE FAMILY. Doctors, nurses, pharmacists, and all allied health practitioners will from tomorrow, start an endless strike with no signs and symptoms of turning back until further relevant notice
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Iwekwe na siku ya mashujaa waliokufa kuipigania nchi yao kwa stail ya kutopatiwa huduma stahiki kwa udhalimu wa serikali.
   
 10. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Safi sana wapiganiagi uhai wa wanadamu.....hakikisheni huyo mama mwenye dharau, jeuri na kiuburi kwanza ana resign, hata kama maslahi yenu yataahidiwa kuboreshwa.....kuweni makini na changa la macho...1. Aondoke blender..inner. 2. Posho ziboreshwe
   
 11. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  pamoja sana wakuu
   
 12. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sisi waganga wa kienyeji tutaendelea kutoa huduma mbadala wakati ninyi mnapigania haki zenu. Tunawahakikishia kwamba hakuna mtanzania atakayekufa. Msirudi nyuma kamwe mpaka kieleweke.
   
 13. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  naunga hoja mkono.
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  hata wa private wanagoma?
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  safi sana mbeya
   
 16. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kumbe wanaitwa mashujaa
   
 17. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ocean road kwani ni ya serikali?hebu nijuze
   
 18. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hongereni kwa uamuzi huo mzito! Watawala wa ki afrika siku zote wamezoa kutoa haki ya watu baada ya kubanwa.
  Kazeni uzi mdai haki zenu.
  Wananchi tuko nyuma yenu.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,mdau umenifurahsha
   
 20. m

  massai JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Watu
  wanakufa
  zee
  la
  magogoni
  linakenua
  tu
  mimeno
  has
  if
  lenyewe
  halitakufa
   
Loading...