Basic tanzanian dream ni ipi?

howard

Senior Member
Feb 21, 2011
188
28
President Obama warned in his State of the Union address Tuesday that the nation's middle class is at risk because of growing economic inequality, and argued that the government must do more to preserve the basic American dream.

In a speech that is likely to set the theme of his 2012 re-election bid, Obama said "the basic American promise" that hard work can allow one to own a home and support a family are at risk if the government doesn't do more to balance the scale between the nation's rich and poor.

MY CONCERN KATIKA HII SPEECH:
1.
Hivi kwa sasa serikali inajua inatakiwa wawafanyie nini Watanzania kurekebisha hali iliyopo? kuna wabongo humu wanatoa hoja eti acheni kulalamika tafuteni njia za kuongeza kipato, huu si ubinafsi kweli? njia ya kuongeza kipato inapatikanaje kama haujatengenezewa mazingira, acheni hizo serikali lazima iwajibike kwa wananchi wake inapoona mambo hayaendi sawa. Bongo wenye nacho wanazidi kuongezewa na wasionacho ndio wanazidi kuwa maskini na serikali haifanyi lolote, kweli tuna safari ndefu.
2. Hivi watanzania basic dream yetu ni nini? What is the basic Tanzanian dream? au ndio bora twende? ila najua kuna individual dreams za watu na familia zao si kwa ujumla wetu watanzania
3. Middle class bongo ndio akina nani hivi?
 
Yawezekana hatuna bado, tulikuwa na imani ya amani. Sasa, nadhani nachotamani mimi kwamba, "kama ukifanya kazi kwa bidii, maisha ya kujikumu ni haki ya mchapakazi"
 
Back
Top Bottom