Kanisa katoliki nchini,limesema kamwe halitarudi nyuma kutumia rasilimali zake katika kuwekeza kwenye elimu kwa kujenga shule nyingi za sekondari ili kulisaidia taifa kuwa na vijana...
Huyo mama (Blandina aliwahi kwenda pale MUHIMBILI na kukuta wagonjwa wamejaa na wengine wamelala chini, alichosema ni " Sitaki kuona wd zikiwa chafu namna hii wawekeni hao wagonjwa chini ya uvungu...
50yrs back, the country was not developed like now days. During Mwalim era & retired Hon Mwinyi, the country was not much good if compared to Sir W. Mkapa. During Mkap era the country was very...
Tumechoka na mipango mbalimbali inayofanywa kwa lengo la kumsafisha waziri mkuu mjiuzulu Edward Lowassa!
Hivi ni sababu zipi za msingi za kumsafisha Lowassa ambaye tayari ameshachafuka wakati kuna...
IPTL could lose Sh200bn after liquidation order
Wednesday, 20 July 2011 22:51
By Ramadhan Semtawa
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The liquidation of Independent Power Tanzania...
Wanajamvi wenzangu naomba kuuliza ule waraka uliokuwa unawekwa jamvini na kuondolewa na mods uliokuwa umeandika na wajeshi kumshinikiza mkuu wa kaya ajiuzulu kabla ya siku mia umeishia wapi? Je...
Nimejaribu kufanya tathmini ya maisha tunayoishi watanzania wa leo nikajaribu kukumbuka somo la historia na nimegundua system ya maisha na uongozi wetu unafanana kwa kiasi kikubwa na middle ages...
Hello members,hivi ni kweli kuwa hawa jamaa wa Dowans wameshalipwa ile pesa yao Tsh Billion 90 plus accrued interest?
Mwenye uhakika please naomba kujua nikiwa kama mzalendo wa kweli wa nchi...
Send to a friend
Friday, 11 November 2011 22:26
digg
Permanent Secretary for Health and Social Welfare, Ms Blandina Nyoni.
By Songa wa Songa
The Citizen...
Mfanyakazi wa Bunge, Nicolaus Luther Senge amefariki dunia kwa kupigwa risasi na askari polisi katika tukio ambalo lilisababisha vifo vya watu watatu. Senge (49) alifariki dunia usiku wa kuamkia...
Mmoja wa waathirika wa mafuriko, Stephen Katumba, akiwa na familia yake, Sophia Kioza na mtoto Angela Stephen, wakitua mizigo muda mfupi baada ya kuwasili katika makazi mapya ya Mwabwepande, nje...
jamani sisi huku kijijini tumesikia madaktari wamegoma lakini kwenye tbc news ni habari za wakenya tuu!jamani tunaomba kujua wameamuaje?tutegemee vifo vya wagonjwa???
Monday, 23 January 2012 08:00
Beatus Kagashe
Mkinga Mkinga na Aidan Mhando
MWANDISHI wa habari wa Kampuni Mwananchi Communications Limited (MCL), Beatus Kagashe (31), amefariki dunia juzi...
yapo mambo mengi yanayosababisha huduma katika vituo vya afya vya serikali kuzorota.lakini moja ambalo ni muhimu ni maslahi duni yasiyoakisi gharama za maisha.
Sasa hivi wahudumu wa afya...
Wakuu..!
Huyu Mama Posho naona ameibuka na mpya..!
Kuwataka wanasiasa kuacha siasa misibani bila ni sawa na kupoteza muda.,Mama posho angeonekana mwenye busara kama angewataja wanasiasa...
Ni mgomo gani ambao utaathiri sana wananchi wa kawaida (wale ambao hawawezi kupelekwa India kwa matibabu) baada ya kutotimiziwa stahili zao kama haawa wafuatao?
Marubani
Wabunge
mawaziri...
.COM Sasa hivi kwenye redio ya mawingu wanamkapenia asharosi migiro eti sasa ni samu ya wanawake wanawambia wasilizaji kutuma sms kutoa maoni yao kuhusu asha kuwa rais ajae.
Katika mpango wa upimaji wa maeneo ya makazi ya mji katika sehemu ya Kinyerezi, halmashauri ya Ilala imekamilisha mpango wake wa kuwanyanganya wananchi wanyonge ardhi yao kwa lengo la kujipatia...
LOH...!!!!! wajumbe wa baraza la wawakilishi, zanzibar. wameambiwa kama hawatapitisha marupurupu kwa viongozi wastaafu na familia zao, basi na baraza lenyewe litavunjwa na wao kupoteza...
Katika karne ya 15-19 wakati wakoloni wanaingia barani afrika mbinu mbalimbali zilitumika ili kufanikisha mbinu zao chafu za kutawala Afrika na makoloni yao mengine.Mbinu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.