Uchapakazi wa lowasa ni upi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchapakazi wa lowasa ni upi??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Jan 24, 2012.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikishangaa kila mtu anayemkubali mr mamvi anasema jamaa ni mchapakazi na kafanya mambo makubwa!ni yapi hayo jamani mambo makubwa, city water na shule za kata?naomba kujuzwa!
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  we umemsikia nani...?
   
 3. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kubwa sana alilolifanya ni kujiuzulu kwa ajili ya kukinusuru chama chake na serikali ya swahiba.
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Pacco na malaria sugu wapom hum watwambie?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yaulize masaburi yako yakujibu kwa kuwa aliye na macho haambiwi tazama! na pia wewe ni narrow minded sana kwa hiyo huwezi ukaona mazuri ya Lowassa. Bull shiiiiiiiit:A S embarassed:
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,726
  Trophy Points: 280
  Nyie watoto
  ukristo wa lowassa unamtosha kabisa kuonyesha uchapakazi wake ulivyo imara nini zaidi mnataka
   
 7. a

  adobe JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  nani wa kukujuza wakati uwezo wako wa kupokea mdogo?kama humkubali to hell.waache wanaomkubali waendelee.huwezi kuwa unajua ukweli halafu unataka kuujua.unachotaka kukijua kaulize kwa MS(jini mahaba)
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Taarifa za uhakika, EL amebook ghafla na harambee za makanisa yote mpaka 2015 !
   
 9. M

  MPG JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchapakazi wake upo kwenye kuwaibia watanzania na kuwadanganya! Hana lolote huyo ni mwizi mkubwa wa Taifa hili.
   
 10. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Wewe ni jini Subiani, maana halipatani na jini Mahaba !
   
Loading...