Jihadhari na Mfuko wa Plastic (Rambo) Barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jihadhari na Mfuko wa Plastic (Rambo) Barabarani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Jan 23, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,453
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:-

  UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI. UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA KIBAO KILICHOPIGILIWA MISUMARI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA WEWE.

  UKISHUKA GARINI KUANGALIA KULIKONI WIMBI LA VIBAKA LINAKUVAMIA NA HAKUNA UTAKACHOBAKIA NACHO ZAIDI YA GARI MAANA LITAKUWA HALINA UPEPO BAADHI YA MAGURUDUMU.VIBAO NI VINGI KWA UMBALI MFUPI MFUPI.

  HII IMETOKEA JANA TABATA KISUKURU MAENEO YA MAKOKA MIDA YA SAA TATU USIKU. WALIOPATA PUNCHER NI PAMOJA NA MKE WANGU NA MAGARI MENGINE KIBAO, WALIOLIFANIKIWA KUIBIWA SIJAPATA TAARIFA BADO ILA TULIJI-ORGANISE NA KUPITA NJIA ZOTE NA KUVUKUSANYA.

  WATAKUPIGA KIASI GANI HIYO INATEGEMEA KIWANGO CHA BANGI WALICHOVUTA NA UNAJEURI KIASI GANI.

  TAHADHARI.

  USIKANYAGE MFUKO WA NYLON ( KWEPA). UKIKANYAGA BAHATI MBAYA JIANDAE VYEMA KABLA YA KUSHUKA GARINI AU TEMBEA NA PUNCHER UMBALI KIDOGO.

  MTAARIFU NA MWENZAKO.

  __._,_.___


  To photos, videos, and web pages.
   
 2. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Nashukuru Kaka kwa taarifa.
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,453
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Karibu sana, Ila tu mimi si Kaka ni Dada, nimekusamehe bila malipo
   
 4. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  From a friend !!
  Kumezuka wimbi jipya la uhalifu, hii iko namna hii:-
  unakuta mfuko wa nylon( maarufu kama mifuko ya condom,rambo,plastic) barabarani . Ukiukanyaga tu lazima utapata puncher maana ndani yake kuna kibao kilichopigiliwa misumari zaidi ya unavyofikiria wewe. Ukishuka garini kuangalia kulikoni wimbi la vibaka linakuvamia na hakuna utakachobakia nacho zaidi ya gari maana litakuwa halina upepo baadhi ya magurudumu.vibao ni vingi kwa umbali mfupi mfupi.hii imetokea jana tabata kisukuru maeneo ya makoka mida ya saa tatu usiku. Waliopata puncher ni pamoja na mke wangu na magari mengine kibao, waliolifanikiwa kuibiwa sijapata taarifa bado ila tuliji-organise na kupita njia zote na kuvukusanya.


  Watakupiga kiasi gani hiyo inategemea kiwango cha bangi walichovuta na unajeuri kiasi gani.


  Tahadhari.
  Usikanyage mfuko wa nylon ( kwepa).
  Ukikanyaga bahati mbaya jiandae vyema kabla ya kushuka garini au tembea na puncher umbali kidogo.


  Mtaarifu na mwenzako
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  thanx xana
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana dada taarifa!! Vipi mkeo hawakumuumiza sana maana wavuta bangi hawana mipaka?
   
 7. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  you are welcome. naona watu wanapata mbinu mpya jinsi maisha yanavyoendele kuwa magumu. itafika wakati tutashindwa kutoka majumbani mwetu, au kwenda baadhi ya maeneo.
   
 8. K

  KIMALIKE Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu kwa taarifa
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  heee kumbe... asante kwa habari muhimu sana kwa sisi madereva..
   
 10. M

  Maga JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Duuh hiyo noma, asante kwa taarifa
   
 11. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  shukrani kwa taharifa, wanasema mjini shule.

  nje ya topic "kumbe wewe ni mwanaume??:A S embarassed:
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nyie madreva wa bongofleva, mnaponzwa na magari ya automatic kiasi kwamba hata kwenda veta mkapate shule ya nidhamu ya barabarani hakuna.
  Hapo juu nilikoweka rangi ndo 'nidhamu ya dereva' akiwa barabarani si mchana au usiku.
  Kabla ya kupata leseni za vishoka, pitieni driving school utafundishwa hayo.
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  shatwain wewe mchokozi sana!
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280


  Amavubi
  Asante sana kwa taarifa zako ambazo ni nzuri na muhimu sana
  Ila mbona unajichanganya
  Angalia ulivyoanza thread umesema walioumizwa sana ni pamoja na Mke wangu
  Then hapo chini comment iliyofuata unasema sio kaka ni dada
  Inakuwaje hapo
   
 15. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  kuna binti wa kike na binti wa kiume ndugu yangu na wala usishangae mkuu wangu.
   
 16. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekupata aise maana hapo nimechanganyikiwa kabisa
  Asante kwa taarifa mkuu
   
 17. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hahahaa sobhuza bwana! vipi inshu yako ya udsm imeeleweka au bado, kama unacredit nzuri tafuta shule majuu?
   
 18. K

  Kwaito Senior Member

  #18
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you for this useful info!!
   
 19. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,453
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Mimi si MSAGAJI
   
 20. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,453
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  Aisee ni kweli nimejichanganya.....nikiri kwamba ni mambo ya sharing.............paste and copy...............maintain the status quo
   
Loading...