Barabara ya Arusha -- Namanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya Arusha -- Namanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gurta, Jan 24, 2012.

 1. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sikuwahi kuipita barabara hii hapo kabla kwa hiyo sijui hali yake ilivyokuwa kabla ya kutiwa lami miaka si mingi iliyopita na kuzinduliwa kwa mbwembwe zote za Ki-EAC. Najua ime(na)jengwa na kampuni toka China ingawa sina hakika na sources of funding. Sasa nimekuwa nikiitumia mara kwa mara tangu mwaka jana mwishoni baada ya kuanza 'mishemishe' hapo kwa watani. Kinachonitatiza ni huu ubomoaji unaoendelea kwa kasi kweli -- kubandua lami iliopo na kuweka nyingine, kumwaga kokoto, n.k.

  Naomba kufahamishwa/tujadiliane:

  1. Hadi inazinduliwa, je ilikuwa imekamilika kutengenezwa?
  2. Imeshakabidhiwa serikalini na mkandarasi?
  3. Pale ilipo ndo imekamilika -- yaani bila hata kuwekwa mistari?
  4. Hili ni swali general, baada ya Magufuli kufaniwa kupunguza gharama ya km hadi sh. 800m. Je, kiwango kile cha lami hii ndo standard ya hapa TZ -- lacking consistency and uniformity, narrower?
  TZ ni zaidi ya unavyoifahamu!
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu barabara zote wanozetengeneza wachina hilo la kubandua lami na kuweka nyingine ni kawaida tu hata hii ya Chalinze-Kitumbi mpaka kesho wanabandua tu.
   
Loading...