Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkazi wa kijiji cha Mohoro rufiji, Saidi Makwangu, amemuuliza Mwenyekiti wa kijiji hicho nini kifanyike kufuatia mwanae kufaulu mtihani wa darasa la saba wakati hajui kusoma wala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ban Kimoon kaamua kuweka wazi matakwa ya taasisi yake kuwa ushoga utambuliwe katika nchi za Africa kwani wamechoka sasa na msimamo wa miaka mingi wa Africa kutotambua haki za mashoga...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Napendekeza kipindi cha Dk 45 kimtafute Mzee Mwakyembe ili kufanya mahojiano nae. Nahisi kuna kitu anataka kuongea. Vipi hilo wana jamii
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila dai linalowekwa mbele ya serikali linaburuzwa na kupigwa danadana hadi wahusika wanatishika na kuamua pangine kuachana na madai yao. Machache ni kama haya: 1. Madai ya wanafunzi wa vyuo. 2...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hawa ni wakazi wa kitongoji kimoja kinachoitwa castro katika jiji la san fransisco nchi marekani wakiandamana kupinga sheria inayowakata kuingia na kupata huduma wakiwa uchi katika...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Kama kweli madaktari wanamsaada kwenye maswala ya utabibu kwa nini hospitali zinajengwa mochwari na zile ambazo hazina zinaandikiwa bajeti ili ziwe nazo? Madaktari wote waliogoma waende kule...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari jf.. Tafadhali sana naomba kwa anaweza kunisaidia kupata mawasiliano na huyu mtu(ZUBERI MSABAHA ),ni mtangazaji wa Free Africa wa kipindi cha bolingo time,either email au vyovyote...
1 Reactions
6 Replies
10K Views
Ni katika kikao cha viongozi wa mataifa ya Afrika huko Addis Abbaba,Ethiopia,kilicho ambatana na ufunguzi wa jengo jipya lililo jengwa kwa msaada wa serikali ya China .Ki moon anadaiwa...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Wana jf nimekuwa nikifuatilia kwa makini hali inavyoenda na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi wenzangu,asilimia kubwa wakitetea madaktari kuhusu madai yao,ila moja tu la msingi nililogundua...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Wakuu Taifa letu kwa ujumla na serkiali "yetu" iko kwenye mgogoro na madaktari walio kwenye mgomo. Binafsi sijaelewa wazi chanzo na sababu na maudhui ya mgomo lakini nachtoambua sekta nyingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi nafikri mkurugenzi wa uhamiaji naona awe makini atapata laana sana kwa kuwanyanyasa hawa wasomali kila siku kisa njaa za wafanyakazi wake ..hivi mnaona raha kutoa picha za wakimbizi mnahisi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kwa wale wana JF wenzangu wenye ueledi na mambo ya sheria za kazi wanijuze hili. Kuna mfanyakazi wa serikali tena ni mkurugenzi wa halmashauri! Yeye ana kesi ya mahakamani. Hii kesi bado...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkuu Yahaya M. heshima mbele na pole kwa majukumu! Nisikuchoshe sana mkuu wangu....nilitaka kujua tu Je, hao waungwana wawili hapo juu'kesho wataudhuria kwenye kipindi cha tuongee asubuhi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
(RADIOACTIVE POLONIUM) inaendelea kuathiri walio kuwemo madarakani na wasio kuwemo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wengi wetu tunaridhika na habari mnazo tupasha na pia mikakati yenu ya kufanya magogoni wakasikika. Mbinu na mikakati yenu ya kujifanya mnakosea spelling haina mbadala, ina wapumbaza timu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa wale ambao tumemaliza katika vyuo hapa nchini na kufanikiwa kupata mikopo kupitia heslb, HESLB wametoa siku 21 tu iliyoanza tarehe 23/01/2012 ili uwe umewasilisha information zako kwao au kwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Waipa serikali siku tatu kutekeleza madai ya madaktari Wasema kama haikufanya hivyo wataungana nao Tucta yataka kima cha chini Sh. 500,000 kwa mwezi Mgonjwa aliyevunjika nyonga, Anna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri mdogo wa elimu Ndg. Mulugo amevunja sheria ya mtoto inayotamka wazi kuwa elimu ya shule za msingi ni bure! HEBU SOMA HAPA: Waziri abariki michango shule za msingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana majira ya saa mbili kasoro usiku pale Sanawari kwenye taa. Palitokea ajali ya pikipiki Toyo kuikatizia gari aina ya Fuso na dereva toyo kufa palepale na isitoshe ile pikipiki kukanyagwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wandugu, Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…