Hata wagonjwa wakifa!
Mwandishi: Charles Misango
NAANDIKA makala hii nikiwa sijali kwa lolote na chochote kitakachonipata kutoka kwa yeyote.
Kama wao wasivyojali, nami sasa sijali...
Thu, Feb 9th, 2012
Thu, Feb 9th, 2012Tanzania |Thu, Feb 9th, 2012..
Feza Boys Secondary School student Moses Swai, who was the best candidate nationally in last year's Form Four...
Nimeangalia kupitia channel ten mkutano wa Bw. Antony Lusekelo a.k.a Mzee wa Upako akiongea na waandishi wa habari juu ya mgomo wa madaktari, jamaa anaonekana kuitetea sana serikali na kuita...
Mwandishi Wetu,
Hali ya wagonjwa katika hospitali ya Mwananyamala Manispaa ya Kionondoni ,Dar es Salaam jana iliendelea kuwa mbaya baada ya wagonjwa hao kulalamikia vitendo vya...
Ni ukurasa mpya baada ya baadhi ya wanaharakati kushiriki maandamano ya kuilazimisha serikali ishughulikie mgomo wa madaktari hapo jana. Nilifarijika kwani naamini ni mwanzo mzuri wa kudai haki...
Juzi akihutubia mkutano wa wanachama na na washabiki wa CCM,Kikwete alisisitiza kutowachagua wana-CCM wanautuhumiwa na wale wanaotuhumiwa na ufisadi. Huyu mukulu mbona anatuchanganya? Si yeye...
hiki kipindi cha wanawake live,kinachozungumzia mambo ya wanawake kilikuwa na lengo zuri wakati kilipoanza,cha ajabu cku hizi kimekuwa kama sehemu wa wanawake kwenda kuonyesha mapaja yao,kwani...
Ni kweli mmegoma, hakuna ambaye hajawasikia, but kwa kufanya hivyo hammuikomoi serikari wala pinda wala dr mwinyi au kikwete bali mnawakomoa wananchi wenzenu, either jirani yako au ndugu yako...
:embarassed2: Hebu tusemezane jamani, Hivi Mh.JK alitumia kigezo gani kumteua Mama Lwakatare Kuwa Mbunge:juggle:?? Maana bado sijielewi,
Tusemezane kwa uwazi?
mh
Kwa hali halisi ya nchi inavyoelekea nafkiri mwisho wa hich chama cha mafsadi (majambazi) umefka hali ni mbaya sana wakati mshua hajawai kutoa maamuzi yeyote
baada ya kuona mambo yamekuwa magumu hatimaye waziri mkuu mizengo pinda kesho asubuhi atakuwa na mkutano na wadau wote wa afya katika hospitali ya taifa muhimbili.alijifanya kumwaga ugali nao...
Kwa waaminio biblia(ingawa sina uhakika kama hadithi hii iko pia ktk Q'uran Tukufu)tunakumbuka jinsi wana wa Israeli walivyoteseka utumwani Misri mpaka baadhi yao wakauzoea na kuamini ni sehemu ya...
Nimesikia taarifa ya habari wagonjwa na kina mama wakilalama wagonjwa kupoteza maisha,zaidi kina mama wajawazito wakipoteza maisha kabla ya kujifungua!zaidi ya yote kuna thread inataarifu juu ya...
Kuna mada inayo ongozwa na masanja times FM.masanja anasema doctor ndio muhimu kuliko mwalimu.je ukweli uko wapi wakati bila mwalimu hakuna wasomi?mi naona kwa wakati huu ni doctor coz imesha kua...
Kama kuna kiongozi mbaya kuliko wote kwenye nchi hii baada ya eva aliemdanganya adam,,mfalme yezebeli basi anaemfwata ni spika anna makinda
kama umemsikia leo huyu mama akikataa hoja ya kujadili...
Wiki mbili zilizopita,waziri mkuu mh Pinda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mgomo wa madaktari,aliwataka kurudi kazini ifikapo kesho yake vinginevyo wajihesabu kuwa...
Ndugu wanajanvi,
Binafsi sijelewi kwa nini rais wetu hajasema chochote kuhusu mgogoro huu. Mimi nilidhani hili ni jambo kubwa ambalo lilitakiwa kushughulikiwa kwa haraka, lakini inaonekana sivyo...
Katika watu ambao nilikuwa naamini wana msimamo na busara ni mh Pinda lakini katika suala la mgomo wa madakteri huyu jamaa nimegundua ni zaidi ya mjinga na angekuwa na busara angeungana na mwenzie...