Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna ujumbe unasambazwa wa sms ukisomeka "we have an important message for you to know it call this number 0037128405230"tunaomba watu wa mawasiliano mtoe tamko kwa hili
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna kichwa kimoja cha habari kwenye gazeti la Uhuru kuwa "maandamano feki yashindwa". Hivi kweli ujumbe uliofikishwa na wanaharakati wale ulikuwa feki? Hivi kweli kupaza sauti juu ya wahanga wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Helen Kijo - Bisimba na Anealia Nkya pamoja na wafuasi wao wamekamatwa na polisi pale hospitali ya Muhimbili wakati WM akiongea na madaktari. Wamepelekwa kituo cha Oysterbay Police
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mdogo wangu ameingia mkenge! aliagiza gari na kutuma pesa bila kutumia Pay Trade lakini hadi leo hakuna gari wala mawasiliano tena, ni kimya kabisa. Nani mwenye msaada, je anaweza pata pesa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMANDA MKUU WA MKOA WA DAR AMEENDELEA KUWADANGANYA WANANCHI KWA KUSEMA ILE KASHFA ILIOTOLEWA NA ISSAMICHUZI.BLOGSPOT.COM SI KWELI POLISI WALIOMBA RUSHWA BALI WALIKUWA WAKILIPWA FAINI NA AMETAJA...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
ILIKUTOA KUTOA DISCPLINE NA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI JUU YA RAISI WAO, KWANZA NINGE VUNJA BARAZA LA MAWAZIRI, KESHA NAVUNJA BUNGE(Ingawa yote yangeweza kufanyika kwa mara moja. Nafanya kwa pozi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KWELI NINAYO NAOMBENI MUDA KPMG wamefanya kazi muda muafaka Sitopindisha tena kama RIPOTI YA JAIRO NAAMINI MUNGU ATANISAIDIA KUWA MUWAZI KWA HILI BWANA AWABARIKI FRM CAG
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Helen Kijo-Bisimba (Katikati) akitoa tamko la Asasi za Kiraia kuhusu mgomo wa madaktari unaoendelea na Serikali kutotoa taarifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sio siri mbali na kwamba ni kitovu cha vyombo vya habari, Dar ni mkoa ambao hauna 'effect' linapokuja suala la mabadiliko ktk Tanzania. Wengi mmekalia porojo tu. Jana tar. 8 Februari, LHRC...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kesho ni siku nyeti sana katika kuamua suala la mgomo wa madaktari.nina uhakika kwamba majibu yote ya madai ya madaktari yako tayari iwe kisiasa,uongo au ukweli.lakini kuna swali moja tu la msingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
“hatukuwa na taarifa na mkusanyiko huo, ni watu walitoka sehemu mbalimbali mmoja mmoja wakazunguka maeneo ya Palm Beach na kuingia barabarani na kuzuia magari yaliyosababisha foleni ndani ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyie mnao kaa nyuma ya computer kwenye ofisi zenye viyoyozi subirini muone!!!!
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Pinda ni kiboga mbaya ile ile.....au co wakuu
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Bahati mbaya ni kwamba wakati huu nchi ipo katika mgogoro na madaktari sisi wananchi hatuwezi kuahirisha kuumwa.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
.jana tarehe 8-02-12 gari ndogo iligonga mtu na kufa papo hapo na kusababisha wanakijiji kuvamia barabara na kuiziba kwa mawe.polisi ilifika mapema eneo la tukio na kuzungumza na wanakijiji,madai...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua wenye kubisha watakuja kubisha,lakini haya tuliyonayo sasa ni matokeo ya urithi wa Mwalimu nyerere kwetu, Mwl alikuwa ni kiongozi msemaji sana kuliko vitendo,kifupi alikuwa simtendaji ila...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna habari kuwa asubuhi ya leo mh Pinda atakutana na watumishi wa Idara ya afya walio ktk mgomo.Hakuna atakayenishawishi kuwa waziri mkuu Pinda atakuwa na majibu ambayo wataalamu wa tiba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Watoto wenye majna ya wakubwa mwaka huu wamechafua,km jk na selelii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Kuna mtu anaijua Job description ya JK sababu sielewi anafanya nini Magogoni, Pia anakuwa jinsi alivyo sababu jinsi ya kumwajibisha haipo wazi hapa ndipo tunapoitaji katiba mpya hata leo leo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…