Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mswada wa marekebisho ya katiba ulikuwa unajadiliwa bungeni jioni hii, mh kilango kaja na suara la wakuu wa wilaya kuendelea kuwa wahusika wakuu kwenye kamati ya uundwaji wa katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Labda nitoe rai kwa madaktari, wengi tumeuunga mkono mgomo wao sio kwa sababu walikuwa wanataka nyongeza ya posho au kushinikiza watu fulani wajiuzulu. Dai la msingi la madaktari ambalo ndilo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umekunywa soda zangu, utanibeba leo Umechukua hela zangu, Utanibeba leo Siondoki peka yangu leo............... Hicho ndio kibwagizo cha Mzee yusuph baada ya kile cha babujiii ****! WIZARA YA...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Hakuna ubishi kuwa mgomo/mkwara mbuzi wa madaktari uliomalizika leo umeacha maafa makubwa vikiwemo vifo vya wapendwa wetu.Kwa walioguswa na hili watakubaliana nami kuwa baadhi ya vifo vingeweza...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Somebody asked: "you are a doctor??! That's cool, I wanted to do that when I was a kid. How much do you make?" Doc replied: "How much do I make? I can hold your hand, seems like the most important...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni serikali kuhakikisha akina mama hawadanganywi na waume wao kuhusu mishahara ni baada ya kugundulika kuwa wanaume hao hutumia na wanawake wengine na itaanza mwezi wa tatu Source BBC
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa vile PM Mizengo Pinda na Madaktari wamekubaliana kumalizika kwa mgomo na madaktari kurudi kazini, kinachofuata naomba sasa Serikali ifanye tathmini ya vifo na madhara mengine yaliyokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu mjadala huu umeanza naona watu wote wameng'ang'ania habari ya DED na DC lakini napata tabu kidogo, wakati amendments zilizoletwa zinataka kuondolewa kwa DC na kuwekwa DED, wabunge wote wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wako ndani ya ukumbi mbona hatuoni tweets zao? mimi nataka nifuatilie hili sakata live tokwa kwa twitters mbali mbali Nauliza hata JF na akina Pasco, Halisi na wengineo tunaomba twitter...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mtu mmoja aliyekufa miaka 3 iliyopita huko Africa kusini ajitokeza na kudai amerudi rasmi. Ndugu na jamaa wanadai ni huyo ndugu yao aliyefariki lakini police wamechukua finga print na kudai niya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri mkuu Pinda yuko bungeni sasa hivi,amemelizana vipi na madok?
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Kila nikifungua gazeti au kuangalia tv, mara rais kafungua fnb benki, mara makamu wa rais kakata utepe kufungua tawi la nmb(kama ilivyooneshwa leo kwenye gazeti la mwananchi), mara utamuona maalim...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu hivi kwa nini zile Noti za zamani mpaka sasa haziishi kwenye mfumo? Nasikia eti ndizo zinatumika kufanya uporaji wa fedha mpya? eti pale panapotakiwa kulipa malipo makubwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Ndugu wanaJF, nimekuwa nikifikiria kwa nini baadhi ya vijana wanaamua kushusha suruali zao nusu makalio na kuonesha nguo zao za ndani na wanaona sifa kufanya hivyo. Wengine wanakuwa wanajifanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya Binadamu tunashindwa hata kuongoza familiya zetu ambazo utakuta ina watu kama watano. Je, mtu kama familiya ya watu watano itakushida unaweza kutoka na kutaka kuchaguliwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inakera sana mtu anapofanya kazi kwa bidii na uaminifu huku akitegemea malipo ya SINTOFAHAMU nalipwa lini? Hii ni habari ambayo nina uhakika nayo kwa 100%. Wafanyakazi wa kampuni ya FREEMEDIA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
776 KAMARA, DEODORUS Mzumbe University - Graduated Between 1994 & 2005
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuendelea kwa mgomo wa madaktari hata abiria nao wako makini katika kupanda vyombo vya moto kwakutokuja nini hatima yao endapo itatokea ajali!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau nimepata taarifa sasa hv kuwa hosp ya St. Joseph ya kanisa katoliki iliyopo moshi mtaa wa soweto imeungua. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze plse.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bunge likiwa hovyo, Rai akiwa hovyo, Waziri Mkuu akiwa hovyo, Upinzani ukiwa wa hovyo matokeo yake ni wananchi wanajichukulia hatua mikononi na kufanya maamuzi magumu. Huu ni Mwanzo tu, Hongera...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…