Sheria inasemaje kuhusu watu waliopoteza maisha kutokana na mgomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria inasemaje kuhusu watu waliopoteza maisha kutokana na mgomo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Feb 9, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna ubishi kuwa mgomo/mkwara mbuzi wa madaktari uliomalizika leo umeacha maafa makubwa vikiwemo vifo vya wapendwa wetu.Kwa walioguswa na hili watakubaliana nami kuwa baadhi ya vifo vingeweza kuzuilika.Sasa kwa wanaojua sheria,watusaidie juu ya hatua tunazoweza kuchukua kama zipo,au tuseme bwana alitoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.Kimantiki siamini kama Tza kuna migomo,mimi naona ni mikwara mbuzi tu,kiasi kuwa kwa wadadisi wa mambo hatukupata shida kujua kuwa mwisho madokta mngetulizwa kihivi na mambo yakabaki palepale.
   
Loading...