Wizara mpoo - anachochea Ngono waziwazi - Mzee huyu

Mtafiti1

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
263
148
Umekunywa soda zangu, utanibeba leo
Umechukua hela zangu, Utanibeba leo
Siondoki peka yangu leo...............

Hicho ndio kibwagizo cha Mzee yusuph baada ya kile cha babujiii ****!
WIZARA YA UTAMADUNI MKO WAPI?Wizara ya mama na mtoto je?
HUYU MTU ANATUHARIBIA WATOTO
MALEZI YATAKUWA MAGUMU!
Akifumba kidogo taarab haichezeki
hivi taarab ni lazima matusi ya wazi?
 
Mbona mimi sijausikia wimbo huo?! Wewe na watoto wako ni wapenzi wa taatabu inaonekana!
 
Taarabu ilikuwa ni ile ya enzi ya kina Juma balo, Shakila, Isa Matona, na wengineo enzi hizo iliimbwa kwa mafumbo yenye funzo na kuchezwa kwa kuyumba kitini si sasa mipasho, matusi, mauno ili mradi zahma tupu.
 
mhhhhh this is complicated....

laki sio pesa afadhali milioni....lol
 
kweli napenda taarab.Kuna tatizo hapo?
ila matusi sipendi
pia laki si pesa kwa siku hizi - milioni ni.............!!!
 
Taarabu ilikuwa ni ile ya enzi ya kina Juma balo, Shakila, Isa Matona, na wengineo enzi hizo iliimbwa kwa mafumbo yenye funzo na kuchezwa kwa kuyumba kitini si sasa mipasho, matusi, mauno ili mradi zahma tupu.

Uko sawa mkuu
taarabu inakua na mafumbo
mfano bunduki bila risasi yaua namna gani - Shakila huyo
Pete - Juma Balo
kapu hilo - Sharmila - hii ni mipasho ya enzi zile huwezi katika hali ya kawaida kujua wanaimba nini.Diku hizi mipasho ni matusi nje nje!
 
Umekunywa soda zangu, utanibeba leo
Umechukua hela zangu, Utanibeba leo
Siondoki peka yangu leo...............

Hicho ndio kibwagizo cha Mzee yusuph baada ya kile cha babujiii ****!
WIZARA YA UTAMADUNI MKO WAPI?Wizara ya mama na mtoto je?
HUYU MTU ANATUHARIBIA WATOTO
MALEZI YATAKUWA MAGUMU!
Akifumba kidogo taarab haichezeki
hivi taarab ni lazima matusi ya wazi?

huyo mwimbaji anayeimba hivyo ni wa wapi? hapa hapa nchini? jina lake kama ni geni?
 
zamani taarab ya mwanahela na shakila..

hii ya sasa ni rusha roho...na dansi ndani yake
 
Hakuna matusi kwenye huo wimbo.

Labda akili yako inawaza matusi muda wote ndo maana unaona kila neno lililomo kwenye huo wimbo wa "mpenzi chokleti" ni tusi.

Acheni watu wajieleze kisanii. Mambo ya censorship yanadumisha vipaji na hayana nafasi kabisa katika jamii yenye demokrasia na inayotoa na kuruhusu uhuru wa kujieleza.
 
Taarabu ilikuwa ni ile ya enzi ya kina Juma balo, Shakila, Isa Matona, na wengineo enzi hizo iliimbwa kwa mafumbo yenye funzo na kuchezwa kwa kuyumba kitini si sasa mipasho, matusi, mauno ili mradi zahma tupu.

sasa hivi ni chakacha...
 
Hakuna matusi kwenye huo wimbo.

Labda akili yako inawaza matusi muda wote ndo maana unaona kila neno lililomo kwenye huo wimbo wa "mpenzi chokleti" ni tusi.

Acheni watu wajieleze kisanii. Mambo ya censorship yanadumisha vipaji na hayana nafasi kabisa katika jamii yenye demokrasia na inayotoa na kuruhusu uhuru wa kujieleza.

haya bana.Halafu watoto wenu wakiandika matusi kweye pepa za mitihani mnashangaa!
 
Taarabu za kisasa ni mipasho.....ndio maana wakaziita rusha roho. taarabu zilikuwa za issa matona enzi hizo. RIP Issa Matona
 
hahahah umenikamata na heading yako lool
lijamaa linahamasisha na lina wake chungu nzima
inaelekea linapenda sana hii kitu asee
 
Back
Top Bottom