Hatimae ma dk kurudi kazini rasmi kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae ma dk kurudi kazini rasmi kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 9, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,560
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Nasikiliza clouds fm jamani
  inatia moyo baada ya hotuba ya mh pinda wamesema sasa
  wanarudi rasmi hospitalini wakiwapa mwezi mmoja kabla ya kurudi
  tena na kutaka kujua hatima yao

  basi kama ulikuwa na clinic wiki hii na zilizopita basi kesho uwahi mapema asbh
  hospitalini wale mliokimbiza wagonjwa tumieni jioni hiikurudisha mapema kabla
  awajajaa wodini

  mwisho lengu letu ni kuona kuna muafaka kati ya serikali na ma dk
  tunawatakia msimamo mwema na mungu awabariki

  mungu ibariki tanzania mungu wabariki ma dk wetu
   
 2. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Madaktari mu-barikiwe saaaana!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,560
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Sio wabarikiweeeee tu unaendelea kulala kesha ukiwaombea 9 march wanarudi tena mgomo kama awajahitimishiwa shida zao ..so baraka zako ziende kugonga na ikulu shemeji zetu waanze kula shavu wameteswa sana sana jamani mpaka dadayangu ukimwangalia utasema ameolewa na mpiga debe wa ubungo this enough
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,560
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Dk ulimboka
  amesema bado anasubiri maelewano ila kama maombi ya mzee wetu tunaomba turudi kazini tuwape mwezi mmoja jamani serikali tukielewana nao...
  Wakati huo huo mzee wetu pinda amesema kuanzia leo hii mchana ameagiza polisi kuanza rasmi kuchunguza shutuma za blandina nyoni katibu wa wizara hii pamoja na kuhakiki kila docs zilizoletwa mbele yake hasa zile za kupimia hiv ambazo zinajulikana vilikuwa vibovu na mama akaambiwa ukwelii akutaka kustopisha zaidi ya kusema endeleeni kuvigawa sasa ukiwa kama umewahi kupima na hivi vyombo jamani kuna dalili umeshakufa wakati ukiwa hai
   
 5. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Natumaini mamlaka za Serikali zitachukua hatua stahiki kwa maofisa/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wana lawama kwenye mgomo huu. Tumesikia kauli za kupingana/kutishana/kejeli zote zilichangia kukuza mgomo, ni vema basi wahusika wakapima na kufanya maamuzi (mawaziri) na wengine wakachukuliwa hatua na mamlaka zao za uteuzi.
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  comrade ulimboka God bless u a million times
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  p didy....hiko chanzo kinachefua..lakini tunashukuru mungu!
   
 8. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hatimae jana pinda alijishusha akawa mdoogoo anaomba hadi kupigiwa makofi..poor pinda!
   
Loading...