Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi (Tundu Lisu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi (Tundu Lisu)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Feb 9, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi na wanataka Watanzani wawe na maisha bora kwa kutumia rasilimali za nchi.

  Wanataka tuwaamini lakini tuzidi kujiuliza kila siku, tunajifunza nini toka kwa mtu au watu ambao kwa mara mbili wamempitisha kushika wadhifa mkubwa kabisa mtu aliyeshindwa kabisa kulikwamua Taifa toka katika matatizo ya kila namna?

  Sijui kuhusu ninyi ila mimi siamini kwamba mtu au watu kutoka kundi la aina hii wanastahili tena kukabidhiwa nchi yetu kuisimamia na kuzilinda rasilimali zake kwa manufaa ya kila Mtanzania.


  Amesema kwenyea wallpaper yake ya Facebook
   
 2. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jini likujualo halikuli lika kwisha. Hadi wapatikane wanaofaa. Woote walikuwepo hivi sasa wanasubiri kukaa mkao wa mlo. Wachache sana wenye uzalendo. Nadhani wewe unafaa.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Tundu atueleze ana maoni gani juu ya ufisadi unafanywa na viongozi wa CHADEMA
   
 4. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ebu mwaga huo ufisadi unaoujua. Ila usiwe mmoja wapo wa kuwatetea mafisadi
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu afanye kufunguka zaidi
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mwaga mambo hapa tuone mkuu. mimi siujui ufisadi wa chadema.
   
 7. m

  massai JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hilo ***** halijui ufisadi maana yake ni nini.limefeli kama toto la jey key.hapo kwenye nyota,b.w.e.g.e
   
Loading...