Huyu Beatrice Shellukindo

ngony

Senior Member
Feb 7, 2012
153
17
jamani wana JF najua humu kuna watu waelewa sana, hivi huyu beatrice shellukindo anamlengo gani? i mean ndani ya CCM anamatakwa gani? adui zake ni nani? je baba yke aliwah kuwa nani? na yeye alikua ndani ya Chama. na je huyo beatrice shllkndo yupo katika kambi ya nani? km nliskia hv eti alitaka kuongeza auasi.
 
huyo ana bifu la kukosa viti maalum kipindi fulani sasa kilimuumiza sana, na kingine ana uchu wa madaraka na mnafiki, pia ni pro naniliu yule naliuu yule mamvi, halafu ni kiburudisho cha kabwela alishawahi kuita mkiburudisho wake hadharani. nini tena unataka kujua???
 
Kiherehere chake kitamponza siku sio nyingi huyu mwanamke......kaingia choo cha kiume so uko ata kutana na wakina NITONYE kama mia hivi apo ndipo atakapojua nini maana ya kuwatumikia mafisadi na nini maana ya kuwatumikia waliokuchagua.......
 
Ok! nw naanza kuelewa! umenichekesha mchaga eti Mamvi! yani mpka nimeulzwa nacheka nini? kabwela ndio nani tena! sasa yupo katk kambi ya MAMVI duh! inamaana mamvi ndo anataka kumharibia ******, dnt tel dat urafiki wao umeisha? kila mtu anajua kuwa anataka uraisi sasa mbna nahisi anahangaika au kwa sbb wakubwa ndani y chama chenyewe hawamtaki, au ndo atatumia hela kuwanunua wajumbe wa NEC!
 
Kiherehere chake kitamponza siku sio nyingi huyu mwanamke......kaingia choo cha kiume so uko ata kutana na wakina NITONYE kama mia hivi apo ndipo atakapojua nini maana ya kuwatumikia mafisadi na nini maana ya kuwatumikia waliokuchagua.......

Nitonye ndio wakina nang! ntachukua mda kidogo kujua
 
jamani wana JF najua humu kuna watu waelewa sana, hivi huyu beatrice shellukindo anamlengo gani? i mean ndani ya CCM anamatakwa gani? adui zake ni nani? je baba yke aliwah kuwa nani? na yeye alikua ndani ya Chama. na je huyo beatrice shllkndo yupo katika kambi ya nani? km nliskia hv eti alitaka kuongeza auasi.
Kumbuka ana machungu ya mume wake kufanyiwa hujuma na hatimaye kuangushwa na Januari
 
sasa unacheka nini hujui naniliu atakuwa mzee 2015 ndio maana anataka apige faul mapema he he he hujui nini hapo.....kwani umesahau kikao cha sullivan arusha hehehehehehe kijan kuwa uyaone anatumika hapo sijui anautaka uwaziri gani blal fuu
 
Beatrice Shelukindo,Anne Kilango Malecela na Anna Makinda wameudhihirishi umma wa Watanzania na hata kuwaharibia wanaweke wenzao walio na ndoto za kwawania nafasi namba 1 nchini kwa kukubari kutumika na kutumiwa na wanaume tena kwa matakwa ya wanaume bila kuonyesha uwezo wao binafsi.
 
Back
Top Bottom