Kibonde naona sasa akili imeanza kukuingia!

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Nimemsikiliza kibonde muda huu ie saa 11:14 jioni amegundua chanzo cha mgomo ni wabunge kutaka kujiongezea posho!
 
Huyu kawaida yake hua anaongea bila kufanya tafiti na kujua ukweli uko wapi na ndio maana hua anaonekana kama Zuzu.
 
Nimemsikiliza kibonde muda huu ie saa 11:14 jioni amegundua chanzo cha mgomo ni wabunge kutaka kujiongezea posho!
Nafikiri ameacha kufikiria kwa kutumia MASABURI!

Kwa kigongo walichomchapa nacho katika mtandao hata ungekuwa chizi ingebidi upate akili kidogo!
 
Kibonde wale madaktari walimtolea uvivu kanywea, damn
e+kibonde.JPG
 
Safi sana. Endeleeni kusikiliza Clouds FM hasa kipindi cha Jahazi kwani usikilizaji wenu ndo mafanikio yao.
 
Nimemsikiliza kibonde muda huu ie saa 11:14 jioni amegundua chanzo cha mgomo ni wabunge kutaka kujiongezea posho!
Nafikiri ameacha kufikiria kwa kutumia MASABURI!

Huyu fani yake ni kupiga debe nashangaa clouse wanaona anafaa kuwa mtangazaji
 
Na mtu anaejua effort waliyotumia mpaka kuupata huo udaktari na kiasi wanacholipwa hawezi bonga mbovu kiivyo. Mwenyewe tu fm4 alisanda
 
Kibonde ni kama mropokaji yeyote so huwa sioni madhara ya kelele zake japo mimi si msikilizaji wa hizi radio za shortwave
 
Back
Top Bottom