Kiwanda cha Mang'ula Kilombelo ni Mbaya baada ya Kukabidhiwa Mama Rwakatare mwaka 2007 mda mfupi baada ya kupata ubunge .Mpaka sasa Mama Rwakatare amebadilisha matumizi yake na kusabasha wananch kuiomba gvt kurejesha kwa umm.Eneo la Kiwanda linatumika kama madarasa ya St.Mary International .Mwaka 2007 Kamati ya Bunge Poac ilishauri gvt kuvunja mkataba baada ya Mama Rwakatare kushindwa kuendeleza mradi huo.Mwaka jana April 6 Mh Susan Kiwanga Wa Chadema alichangia Bunge na kuitaka kamati itembelee kiwanda hicho baada ya wananchi kulalamika na kukosa ajira baada ya kufukuzwa .