Waziri na naibu waziri wa afya wote wangolewe;dili za blandina nyoni wote wameshiriki hao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri na naibu waziri wa afya wote wangolewe;dili za blandina nyoni wote wameshiriki hao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 10, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,580
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  Hata siku moja akuna mtu atakuelewa ati kisa k uwarudisha ma dk unamfukuza blandina nyoni katibu mkuu pekee hii aieleweki hata kidogo...mh pinda ndani ya mwezi mmoja mliopewa na mdk akikisheni mmewaondoa huyo waziri na naibu wazir wa afya vinginevyo naomba huo upelelezi usifanyike maana wakiwa madarakani na wao kama ma bosi wana uwezo wa kuharibu upelelezi wa polisi

  ndio maana mwenye hekima anajivua mwenye kama sio kuomba akae pembeni kupisha uchunguzi uwezi kutuambia uchunguzi uanze mara moja wakati waliosaini..vifaa feki vya kupima hIv wapo waliosaini kuleta vifaa vibovu vya figo mara mbili nchini wapo hizo ni porojo kabisa

  tutakuelewa kama ungerudi kama swala la emrgency umwambie rais wako kwamba hawa nop waacheni polisi wafanye kazi yao else mtuambie hizo kuwafukuza blandina nyoni ni porojo kurudi kwa ma dk ofisini
  natumaini mh waziri mkuu atupendi siasa inapofika uhai wa mtu , wangapi wamekufa ama kwa kujiua kisa kupima na kuambiwa ana ukimwi kumbe sio kwa ajili ya dili chafu za mama blandina nyoni na waziri wako wa afya??atuwataki nasema watokeeee kwanza mwezi mwingi sana na nyie ma dk sijui ulimboka washakuita ikulu na wewe kama tucta..tuwe na msimamo jamani michezo hiimichafu inajulikana kila wizara umewahi kujiuliza zile ripoti za cag halmashauri imetafuna billion mbili bado mkurugenzi yuko kazini amwoni ni kamchanga cha macho fulani wasitufanye wajinga bana tumechoka kabisa na huu ujinga
   
 2. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  duh ama kila maisha binadamu yameshuka bei, watu wanakufa ovyo hospitalini kisa viongozi wabovu....
  :juggle:
   
 3. l

  lemikaoforo Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka mbunge mmoja alishawahi kusema watu kama blandina kule china wanapigwa risasi hadharani,c mama peke yake watu wa tbs wanahusika,ni wangapi wameambiwa ni positive au negative kumbe siyo sababu ya blandina
  Blandina hafai kufananishwa na chochote kwa ubaya.
   
Loading...