Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani kuna vioja huwa naviona hapa mjini vyengine nanyamazia kwa kuamini wahusika labda hawana uwezo wa kugundua uzembe huo au ni uwezo wao mdogo. Lakini hebu tuliangalie hili la tofali kuwekwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, habari Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo...
1 Reactions
101 Replies
9K Views
Du..noma, sisikilizi tena muziki wake, nikienda kwenye mnuso muziki wake ukipigwa nitatoka nje kupunga upepo. French judge charges Congolese singer Olomide with rape - Africa |nation.co.ke...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Tujitahidi kupiga vita hizi mila na desturi mbaya katika jamii zetu. Fuatilia hii video uone mwenyewe: Usemi wa Ngariba part 1 - YouTube
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF, Nimjuavyo Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Olonyokie Olesendeka: 1. Ni mtoto wa kifugaji (mmaasai) wa kijiji cha Lendanai 2. Alisoma Moringe secondari- Monduli 3. Alipata division 0...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Salaam wana Jamvi! Mimi nikiwa mkereketwa mmoja wapo wa Jamii Forums, nauliza utaratibu wa kuchangia fedha ktk kikundi hiki ili kizidi kuimarika zaidi. Mwenye kufahamu utaratibu anijuze.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naandika ujumbe huu wadau kwa masikitiko makubwa sana,ni kwanini mtandao wa simu wa tigo unakua na wizi wa waziwazi hivi? Leo ni karibu siku ya tatu napokea ujumbe wa ajabu ajabu kutoka namba...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Naomba msaada wa mawazo Wakuu. Nina Mitsubishi RVR (1996) ambayo gear box na engine yake imekuwa ikiniletea matatizo ya mara kwa mara. Kuna mtu aliniambia kuwa inawezekana kubadilisha hivyo vyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naandika tena kuyataka makampuni ya simu kuweka wazi gharama zao za kupiga simu badala ilivyo sasa ya kuibiwa kwa kukatwa gharama kubwa bila taarifa. Kwa mfano Tigo wanadanganya kuwa gharama ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajameni, ajali imetokea eneo la Mbezi Kimara. Likihusisha basi la kampuni ya ABOOD lililokuwa linatoka Morogoro kuelekea DSM. Inaelezwa kuwa kulikuwa na msafara wa kiongozi, hivyo dereva wa basi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau naomba kuelimishwa kuhusu kesi za ubadhirifu wa mapesa ambazo watuhumiwa walifikishwa mahakamani. lakini kwa sasa mambo yamekuwa kimya sijui ni mimi tu sipati muendelezo wa habari kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kuelimishwa,mamlaka ya mapato ktk kukadiria kodi wajasiriamali kwa mwaka huu wa 2012-2013,hapa ktk wilaya ya tunduru,wanahitaji bank statement ya mwaka uliopita na kwamba makadirio yate...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami, ameibuka na kusema suala la kifo ama uzima anayelijua ni Mwenyezi Mungu huku akisema afya yake ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umeme wakatika wakati wanafunzi wakifanya mtihani.Ilikuwaa yapata saa 1:30pm hivi toka mtihan uanze na kuisha ilikuwa ni saa 2:00pm.Hivy Utawala ukatoa tamko kuwa mitihan ikusanywe hata kam...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ASKOFU Edson Mwombeki wa Kanisa la Tanzania Evangalism Field lililoko katika Manispaa ya Shinyanga, ameeleza nia ya kugombea ubunge ifikapo 2015 kwa madai kuwa wabunge walioko sasa hawana utukufu...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
TANZANIA imeadhimisha miaka 50 ya uhuru, huku ikiwa na changamoto kubwa ya ongezeko la watoto wa mitaani na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Ongezeko hilo la watoto wanaoishi katika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
In the thread: Is there life somewhere else in the universe for real? It has become apparent that the discussion has moved into two main directions. The first involves evolution and creation...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Mkutano wa sita wa Bunge ulimaliza wiki iliyopita huku serikali ikiomba kupewa muda zaidi wa kufanyia kazi maazimo ya Bunge juu ya taarifa teule ya kamati ya Bunge uliyoundwa kuchunguza vitendo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima. Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Yule kijana aliyechafua hali ya hewa mwaka jana katika mchakato wa katiba mpya na akaropoka kwa lafudhi ya kipemba "yakhe nyie wabara hatuwapendi" lakini kwa mara ya tano namsikia akiongea lafudhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…