Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zawadi2007, Feb 12, 2012.

 1. z

  zawadi2007 Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, habari

  Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo ilikuwa imepangwa kufanyika Dar lakini yeye EL akadai ni muhimu kuifanyia huko site. Habari ndoo hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi hapa nchini hakuna shughuli zingine za kijamii zinazofanyika zaidi yab hizi za makanisani?

  Tumeshamchoka bana! yako mashule mengi yenye upungufu wa madarasa si aende akahamasishe na huko?
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Akifika huko atakutana na akina SITTA na MWAKYEMBE maana nao walisema kuwa wanaelekeza nguvu zao makanisani.
   
 4. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  asante mkuu kwa taarifa. Hivi ( ) ameshapona?
   
 5. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 452
  Trophy Points: 180
  edward lowasa, anajisafisha kupitia makanisa, teh very very good, we love you very much mr lowasa but you wont get urais wa tz mpaka mwisho wa dunia.
   
 6. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  thanks.
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Patamu hapo.Mbunge wa jimbo atashiriki hiyo harambee?
   
 8. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  aliyomfanyie Mwakyembe awe makini asijepingwa mawe na wananchi. View attachment 47211 Tazama picha hii ujue binadamu hana huruma kwa mwenzie.
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ndo maana jk sasa anamwogopa mno el?may be!
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...nitamwalika na kanisani kwangu "TUBU KWANZA" sijui atakuja!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  ana baraka zote za JK
   
 12. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  This guy is a natural born strategist. Na kwa hilo nampa credit. Ukiangalia sehemu anazopita huyu Jamaa, lazima ujiulize hizo connection anazipata by design or by default. Na sijui itakuwaje akianza kuingia kwenye taasisi za vijana na vyama vya wafanyakazi (kwa sasa anawateka watu spiritually).

  Nadhani wengi bado wanakumbuka kwa mazuri yake aliyolitendea Taifa hili, lakini wengi zaidi bado wanamkumbuka katika kashfa alizohusishwa nazo, hasa Richmond. Na kwa mtendaji kama yake kuhusishwa kwenye kashfa ni kitu cha kawaida, but kushiriki kabisa hilo ni suala lingine. Binafsi naona haya yote anayoyafanya hayatamsaidia kama hatakuja kuweka wazi mbele ya UMMA suala halisi lililotokea wakati wa Richmond (alihusika/alishiriki vipi n.k). Yeye anasema; atasema wakati muafaka ukifika. Je wakati huo ni UPI? Au ndio karata yake ya mwisho anayoitegemea? Mi sijui, but until then, ndio mustakbali wake wa kisiasa utakapojulikana
   
 13. M

  Mbogo Junior Senior Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Network overload
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  alihamasisha shule za kata matokeo yake ameambulia matusi
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mwakembe hatahudhuria.hizi ndo taarifa rasmi
   
 16. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mwalimu Nyerere alisema kuwa kuna watu wanajaribu hata kumhonga Mungu ili wapate urais, recentely kumekuwa na move za kwenda makanisani na misikitini, na kwenye vikao vingi vya ajabu. Leongo ni kukitafuta kiti, Lowassa atatupeleka pabaya. Nakumbuka sehemu ya maneno ya mwalimu ilikuwa ni "wa kuwaogopa kama ukoma". Lowassa anautafuta urais kwa nguvu, inabidi tujue ni kwanini anautafuta urais kwa nguvu, for sure si kwa ajili ya kuleta mazuri kwa Tanzania, lakini ni vizuri tukijua ni kipi anachotaka.
   
 17. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huko jimboni kwetu, Kyela, afikirie mara mbili kwenda,
  Pamoja na kuwa Mwakyembe ni mbunge wao lakini bado ni ndugu na jamaa yao, kwa mila za Kinyakyusa,
  Watu wa kule wanajua nini maana ya UJASIRI na kuwa MKWELI,
  Watamuonesha ujasiri wao kwa njia yeyote ile,
  Na watamwambia ukweli bila kujali.
  Haya na tusubiri!
   
 18. k

  kajembe JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mwache aje tunamsubiria kwa hamu sana!
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Rais wetu mpya:clap2:
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Mkuu Interpreneur, there you are!. You save the best for the last!.

  Kwa msio amini, "Lisilowezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana".

  Kwa vile sisi sote ni binadamu tuu, subirini mshuhudie jinsi "jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".
   
Loading...