Nabii Babu Wa Loliondo Apata TUZO la Kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabii Babu Wa Loliondo Apata TUZO la Kimataifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muke Ya Muzungu, Feb 16, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Jamani Babu wa Loliondo kumbe anaongoza kwa kuwa Nabii wa Uongo Afrika Mashariki Nzima? Wakina Mrema, na Wanasiasa wengine waliomfagilia wako wapi?
  [​IMG]
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Trash, full c.r.a.p.!
   
 3. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muke ya muzungu vipi mbona unamwaga ze yurini hapa jamvini?
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kuna watu nawafahamu kabisa ambao wamepona Kisukari. Labda utapeli wenyewe ni kwa wale waliomtumia!!
   
 5. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha ww hizo watu wamepona wengi sana na ambaye hajapona bac imani yake ndogo
   
 6. M

  Mkandara Verified User

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu acha hizo wengine tumepoteza watu muhimu sana kutokana na huyu mzee. yaani siwezi hata kusimulia tena kwa hiyo hiyo kisukari waliacha dawa ya Hospital kisha walipokufa mzee akasema hakuwaambia waache dawa ya Hospital.. Sasa ponya gani ambayo bado mgonjwa ataendelea na dawa za Hospital tena baada ya muda wa mwaka na wamekufa kwa maradhi hayo hayo..Tumeuliza vipi kulikoni tunapewa jibu hata Muhimbili wagonjwa hufa! - Aliyekufa hakupona jamani..
   
 7. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu babu ni hatari sana ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo
  ole wake na tuzo yake ya kuzimu
   
 8. L

  LISAH Senior Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku yao ilifika bwana alitoa ametoa jinalake lihimidiwe!
   
 9. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kifo hakihusiani na ubora au udhaifu wa dawa na kupona pia hakuhusiani na dawa bali kiwango cha ugonjwa, uwezo wa mwili kusharabu dawa na utayari wa mgonjwa mwenyewe kupambana na ugonjwa unaomkabili. Mahospitalini kuna Mochuwari za kazi gani kama dawa kazi yake ni kuzuia kifo? Mimi nina watu zaidi ya sita ambao walikuwa ni wagonjwa taabani wa Kisukari na wote hao hivi sasa wanadunda mitaani wakiwa na kiwango kinachohitajika cha sukari.

  Hata hivyo pole kwa kuondokewa na wapendwa wako!!
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu hata wewe?... Mtu yeyote anayekufa kwa ugonjwa fulani ina maana hakupona ugonjwa ule. Sasa ukinambia kwamba waliokufa siku yao imefika hali wamekufa kwa ugonjwa waliofikiri wamepona baada ya kunywa dawa na babu, hapo tena inakuwa kufuru kwa Mungu . Hao jamaa zako wanaodunda hawakuwa na kisukari bali Depression ambayo ilihitaji tu imani..Ni ugonjwa mkubwa sana sasa hivi Afrika lakini bado watu hawajagundua hilo.
  Inakuwaje mtu aliyeuawa ahukumiwe aliyeua ikiwa siku ya huyo mtu alokufa ilisha fika?.. Jamani hizi imani zenu za dini msiziingize ktk maswala haya tunashindwa hata mjadala.
   
 11. vimon

  vimon Senior Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  nilikuwa napita tu:photo:
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  gaziti gani hilo?
   
 13. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  :pound::pound:
   
 14. D

  DOMA JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hahahaa mmeliwa
   
 15. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwanza Mkandara mimi sijasema kwamba "siku yao ilikuwa imefika" bali hoja yangu uponaji hutegemea mambo mengi sana na siyo dawa peke yake. nakubaliana kwamba inawezekana hao ninanowafahamu mimi sukari yao ilisababishwa na "depression" lakini kuna hoja naijua hata kwa wale wanaopenda kwenda kuombewa au kupungwa mashetani, wote kuna kitu kinawasukuma wao binafsi kwenda huko.

  Mimi ni mgonjwa lakini sikufunga safari kwenda Samunge kwa sababu sikuwa naiamini dawa yake, lakini kwa wale wenye kuamini walikwenda. Na lazima tukubaliane kwamba Babu hakuwa anatoa kinga ya kuzuia ugonjwa kurudia bali alikuwa anatoa "tiba' kwa wenye kuamini. Kitu pekee ambacho tangu mwanzo nilikikataa kuhusu babu ni pale alipodai kwama dawa yake inatibu magonjwa yote!!
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Dira ya mtanzania tarehe 16/02/2012
   
 17. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mbona watu wanakufa hospitalini? ina maana waliotutangazia madawa yanaponya nao ni waongo? Mie nafahamu mtu aliyepona kifafa. sina hakika na magonjwa mengine.
   
 18. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mods if you are fear futa hii thread.
  Mambo kama haya ndo yanafanya JF ionekane kama magamba.
  Tittle na content ni tofauti kabisa.
  Man! Lets talk sense here, mbona tunakuwa wase....
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu ndio maana nikasema usilete habari za imani yako ya dini ktk swala hili la kisayansi tutashindwa hata kujadili mada hii. Kisayansi tunasema tu kwamba mtu yeyote anayekufa kwa ugonjwa fulani ina maana mtu huyo hakupona ugonjwa ule hata kama alitibiwa. Hata hayo madawa tunayopewa Hospital na mtu asipone akafa ina maana dawa hiyo haikuweza kuponya ungonjwa huo ndio maana mtu huyo kafa kwa ugonjwa huo..

  Sasa ukinambia pengine dawa ya babu inategemea kiwango cha sukari nitakubaliana na wewe lakini haya ya KUAMINI kwanza - Hii ni Couseling yaani mtu huyo alikuwa na matatizo ya Depression na mchezo huu wameuanza Nigeria na South Amerika miaka kibao nyuma kuhadaa watu ili kujitajirisha. Na inasemekana couseling kwa kutumia imani inafanya kazi sana kwa nchi maskini ambao maradhi haya hutokana na fikra nyingi za umaskini na kuzua magonjwa yasiweza kuonekana hata Hospital..Hivyo kumrudisha ktk imani ya dini huwa ni dawa mojawapo (couseling)

  Tatizo la babu ni pale aliposema anaponyesha Kisukari, HIV, Cancer na maradhi yaliyoshindikana wakati alichokuwa akifanya ni kama kuwachota watu akili.. Hii ya Kikombe ilianza Nigeria toka miaka ya 90 wala sii kitu kigeni isipokuwa Wabongo ndio kwanza wameona hayo. Na sio kwamba siamini miti shamba kuwa ni dawa bali napinga utapeli wa watu hasa kwa kutumia jina la Yesu..Huko kwetu Ukerewe alikuwepo mganga wa mifupa (kienyeji) ambaye aliweza kuunga mfupa bila kukugusa mwili na watu walishuhudia wakiponywa hadi wachezaji wakubwa wenye majina kama Willy Mwaijibe na kadhalika na mzee yule hakutumia imani ya dini yoyote wala mizimu..ila Miti shamba tu.
   
 20. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu kapona cancer ilikua akatwe mguu na ulikua umeanza kunuka kabisa
   
Loading...