NO SHOW FEE YA PRECISION AIR Tsh 25,000

Chereko

Member
Jul 20, 2009
54
16
Nilipatwa na dharura wakati niko tayari kwenda safari Mwanza, nikapiga call center ya precision simu inanipa matangazo ya ROYAL PAA haipokelewi hata baada ya kurudia mara tatu nikaachana nao. Kesho yake naenda airport naambiwa kalipie "No show fee Tsh 25,000" nikakumbuka siku nimekaaa Mwanza masaa sita nangoja ndege na sikulipwa "Flight delay compensation" na siku ile nikosa kuhudhuria arusi kanisani. Toa nikupe kama mnatoza fee lipeni compensation inapokuwa mmechemka
 
Hiyo iko hivyo zaidi ya miaka mitatu sasa, niliwahi lipa 25,000 mwaka 2009. Juzi kati nikiwa O R Tambo airport nilichelewa ndege ya SAA kuja Dar wakanigonga NO SHOW ya R570 ambayo ni kama laki moja na elfu kumi hivi. Nadhani huo ni utaratibu wa kawaida wa mashirika yote, ingawa Precision customer service yao iko very poor nadhani ndio maana hata 25 yako inakuuma.
 
Nawaombea sana 540 waongeze ndege na kuongeza idadi ya routes wawatoe kabisa hawa precision (PW) kwenye soko. Customer service yao sio nzuri; hawana communications na wateja, kwa mfano, una flight ya asubuhi saa nne, hata kama watai-delay au cancel hiyo flight hawawaambii wateja wa flight hiyo in advance hadi uchome mafuta kutoka Arusha mpaka KIA ndo habari unaipatia pale counter! IT SUCKS REAL!
 
Kwa kweli wanaboa, na delay kwao ni kitu cha kawaida, kwa mnaoenda abroad halafu mnakaa nje ya Dar es salaam tafadhali usithubutu kuunganisha yaani unatoka Mtwara siku hiyohiyo unaenda nje ya bongo utaambiwa flihgt itachelewa kwa saa moja, baada ya muda wansema itadelay kwa masaa mawili mwisho utasikia apologise haitakuwepo mpaka kesho halafu hawatoi Lunch wala accomodation yaani huku mtwara ndio balaa.
 
Nikiwa nasafiri kwenda South Africa napanda SAA na kama imejaa ni bora niende Zanzibar kupanda 1time kuliko hilo daladala. Ukipanda Precision Air ni sawa na umepanda daladala za kariakoo, customer care yao ni sawa na wapiga debe wa daladala. Mimi hunipandishi hata kwa mtutu, ndege zenye hovyo, service hovyo halafu wanadharau wateja, pumbavu zao.
 
Kwakweli wafikirie mara mbili hyi no sho fee yao,, kuna siku washaniweka mwanza airPot siku nzima, nimeingia dar saa nne usiku haina tofaut na mtu aliepanda bus!! Lakin itOkee wewe ndo umechelewa!! Lazma uwatambue!!
 
Poleni sana, mie hata ndege sijui inafananaje ndani sijui lini nami nitaipanda walau ile ya jeshi tu duh, ushamba wangu kweli ni mzigo!!!!!!!
 
PW. Please Wait
Kwa kweli wanaboa, na delay kwao ni kitu cha kawaida, kwa mnaoenda abroad halafu mnakaa nje ya Dar es salaam tafadhali usithubutu kuunganisha yaani unatoka Mtwara siku hiyohiyo unaenda nje ya bongo utaambiwa flihgt itachelewa kwa saa moja, baada ya muda wansema itadelay kwa masaa mawili mwisho utasikia apologise haitakuwepo mpaka kesho halafu hawatoi Lunch wala accomodation yaani huku mtwara ndio balaa.
 
wandugu eti one way Mwanza to Dar ni shiling ngapi kwa fly540 au hiyo Precious?
 
Back
Top Bottom