Noti za hela zilizochakaa hupelekwa wapi ?? Kwanini mpaka sasa nchi yetu inatumia sarafu 2 tofauti ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Noti za hela zilizochakaa hupelekwa wapi ?? Kwanini mpaka sasa nchi yetu inatumia sarafu 2 tofauti ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Senior Boss, Feb 15, 2012.

 1. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Hello JF !!

  1. Nimekua nikijiuliza hili swali mara kwa mara bila kujipatia jibu......kama ina vyojulikana kwamba iwapo una pesa yeyote iliyo chakaa mtu unalazimika kuipeleka bank ili upewe note mpya...ningependa kujua hii process ya recycling of our currency inakua vp?? yan inakuaje kuaje, pesa zilizo chakaa bank wanazipeleka wap na pesa mpya kuingizwa kwenye system.

  2. kwann mpaka sasa nchi yetu inatumia currency mbili tofauti ?? nashindwa kuelewa....z t possible that kuna lots of dirty money loitered around ?? serikali inachukua hatua gani kuhusu hili swala ??

  Ni hayo tu.
   
 2. s

  subash Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi hapana elewa vv, currency mbili what do you mean uncle??
   
 3. s

  subash Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  weka maelezo barabara then ss tuasaidia vv sava dugu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Acheni saundi bana, jamaa ameeleweka!

  Ila shida yake ni hilo neno currency...Currency maana yake Tshs, Kshs, Us$ etc.
  Unapozungumzia fedha za ndani ya nchi moja, hata zikiwa na sura tofautitofauti(kama zilivyo noti zetu) huwezi kusema currencies, ni notes tu!

  Noti zikishachakaa zinakuwa shreded(kusagwa na mashine shreder) na kutengenezwa blocks kama za chakula cha mifugo, lakini ndogo zaidi, na hutupwa dampo!
  Mtaani kwangu kuna jamaa wanachukua hizo blocks za noti dampo, wanazitumia kama fuel, zinatoa moto mkali sana.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tz tunatumia zaidi ya currency mbili mf uero,dollar,£,TAS etc
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna wizi ulifanyika kwa hizo vifaa vya kuaribu fedha mbovu(noti) jamaa aliagiza 26
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamaa hakumaanisha hivyo kwa jinsi nilivyomwelewa mimi, alikuwa anarefer kuwa na noti mbili mbili za aina tofauti kwa kila denomination ya fedha yetu!
   
 8. P

  PAFKI Senior Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nenda benki kuu kazibadilishe upewe mpya
   
 9. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sasa unashauri nini mkuu?
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Maana no 1 umejibiwa tayari...
   
 11. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  thanx mkuu kwa kuwaelimisha....and hizi notes exactly zinateketezwa wapi?? hapa hapa nchini au nnje ?? hiyo sehemu inaitwaje kwa kingereza/swahili ??
   
Loading...